Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Sunday 15 December 2013

DAR LIVE, VODACOM ZACHENGUA MASHABIKI KWA KISHINDO CHA MITIKISIKO YA PWANI

Mwimbaji wa bendi ya Super Shine, Queen Salma akifungua pazia la burudani.
Khadija Omar Kopa wa TOT akitoa burudani.
Mtangazaji wa Times FM, Cliford Ndimbo, akiwa na mkewe.

Ukumbi wa Taifa wa Burudani wa Dar Live usiku wa kuamkia leo ulitikisika kutokana na kufurika mashabiki ambao walijitokeza kwa wingi kushuhudia onyesho la Mitikisiko ya Pwani lililoandaliwa na Redio TIMES  FM kwa udhamini wa Vodacom.
Katika onyesho hilo, bendi tano za miondoko ya taarab zilidondosha burudani ya nguvu ambayo iliwafanya mashabiki wa miondoko hiyo washindwe kutulia katika viti vyao.
Pazia la burudani hiyo lilifunguliwa na kundi la Super Shine ambao waliingia na staili ya ngoma ya Kimwera ambayo ilisababisha mashabiki kuwashangilia kwa nguvu. (PICHA ZOTE NA ISSA MNALLY/ GPL)

No comments:

Post a Comment