Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Wednesday 11 December 2013

LEO NAKWENDA KUPANDA MLIMA KILIMANJARO


Ndugu zangu,
Leo hii nakwenda kupanda Mlima Kilimanjaro, nitaishia pale Mandara urefu wa meta 2,743 (futi 8,999) kutoka usawa wa bahari. Ninatamani sana nifike kileleni, kwa sababu afya inaruhusu, nguvu ninazo na nia na dhamira ipo ya kutosha.
Lakini kutokana na ratiba kubana, itabidi niandae tena siku nyingine mpaka nifike kileleni.
Nitapitia Njia ya Marangu (maarufu kama njia ya 'Coca-Cola') ambapo hadi kufika hapo Mandara nitakuwa nimetembea umbali wa kilometa nyingi, sijajua idadi yake, lakini nitawaambia.
Tuwe pamoja, nitawajuza baadaye.

Mhifadhi Mwandamizi,
Daniel Mbega

No comments:

Post a Comment