Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Tuesday 31 December 2013

MWANAHALISI KUJA NA MWANAHALISI FORUMS 2014


Nimeitoa kule wanabidii

bensonmramba@gmail.com via googlegroups.com 
9:33 AM (6 hours ago)
to wanabidii
Habari njema kwa Wapenzi wa Habari zisizochakachuliwa: Leo usiku wa tarehe 31/12/2013 majira ya saa 6:00 usiku Kampuni ya Mwanahalisi waliokuwa wachapishaji wa gazeti la Mwanahalisi wanazindua jukwaa la mijadala mbalimbali kwa njia ya mtandao ambalo litajulikana kama Mwanahali Forums. Mwaka Mpya na mambo mapya.

No comments:

Post a Comment