Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Sunday 9 February 2014

REAL MADRID YAPANDA KILELENI LA LIGA

La kwanza: Gareth Bale akishangilia baada ya kufunga bao la kwanza jana dhidi ya Villarreal



REAL Madrid imeifumua mabao 4-2 Villarreal katika mchezo wa La Liga usiku wa jana na kupanda kileleni mwa ligi hiyo, Cristiano Ronaldo akikosekana kutokana na kuanza kutumikia adhabu yake ya mechi tatu.
Mabao ya Real jana yamefungwa na mchezsaji ghali duniani, Gareth Bale dakika ya saba, Karim Benzema dakika ya 25 na 76 na Jese dakika ya 64. 
Ushindi huo unaifanya Real itimize pointi 57 sawa na Atletico Madrid baada ya kila timu kucheza mechi 23, lakini inapanda kileleni kwa wastani wake mzuri wa mabao.
Barcelona yenye pointi 54 baada ya kucheza mechi 22, inaweza kurejea kileleni ikiifunga Sevilla leo kwa kuwa inawazidi wastani mzuri wa mabao Real na Atletico.

Chip: Bale (left) gives Madrid the lead after seven minutes of their La Liga clash against Villarreal
Bale alivyofunga

BINZUBEIRY

No comments:

Post a Comment