Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Saturday 8 February 2014

KAMANDA WA CHADEMA AJITOSA KALENGA

Kamanda wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mkoani Iringa, Aidan Gabriel Pugili naye amejitosa kuwania Ubunge katika Jimbo la Kalenga mkoani humo.
Pugili amechukua fomu za kugombea nafasi hiyo leo alasiri katika Ofisi za Jimbo la Kalenga zilizoko eneo la Kichangani, Kihesa katika Manispaa ya Iringa.
Aanatarajia kurejesha fomu hizo kesho, ambapo ndiyo mwisho wa urejeshaji kwa Chadema.
Inasemekana wanachama takriban 14 wamechukua fomu hizo wakiomba ridhaa ya chama kuteuliwa kuwania nafasi hiyo baada ya jimbo hilo kuachwa wazi kufuatia kifo cha Dk. William Mgimwa kilichotokea Januari Mosi, 2014.

No comments:

Post a Comment