Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Monday 17 February 2014

NIMEKUWA MTANGAZAJI SIKU HIZI KUPITIA KWANZA JAMII RADIO

 Naam, siku hizi nimekuwa mtangazaji kupitia Kwanza Jamii Radio, radio ya mtandaoni inayotangaza kutoka Iringa, Tanzania. Nimeanza kutangaza kipindi changu cha kwanza kabisa Jumamosi Februari 15, 2014 kinaitwa 'Busati la Kale' ambacho kinasikika kuanzia saa 3-4 usiku na marudio yake kila Jumapili saa 6-7 mchana. Pia Jumapili Februari 16, 2014 nimeendesha kipindi cha 'Sanaa na Wasanii' kuanzia saa 1-3 usiku ambapo nilikuwa namzungumzia mwanamuziki wa Congo, King Kester Emeneya aliyefariki dunia Februari 13, 2014 (Alhamisi) jijini Paris, Ufaransa. Unaweza kusikiliza radio kupitia http://www.ustream.tv/channel/kwanzajamii-radio.
Lakini sijaacha kalamu, naandika kama kawaida.

Ndugu yenu,
Daniel Mbega,
Iringa, Tanzania

No comments:

Post a Comment