Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Saturday 8 February 2014

BUNGE LA KATIBA HILI HAPA

Rais Jakaya Kikwete

Rais Jakaya Kikwete ametangaza majina 201 ya wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba huku majina ya wabunge na mawaziri wastaafu yakichomoza katika orodha hiyo.
Kadhalika mtoto wa marehemu Dk Sengondo Mvungi, Dk  Natujwa Mvungi, ni miongoni mwa wajumbe.

Mawaziri wastaafu ni pamoja na Kingunge Ngoimbale Mwiru, aliyehudumu awamu zote,   Paul Kimiti, Shamim Khan,  Shamsha Mwangunga.

Wapo waandishi wa habari watakaowakilishwa na Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari (MCT) Kajub Mkajanga na Mkurugenzi wa Chama cha Wanahabari Wanawake (Tamwa) Valerie Msoka.

Wengine ni Balozi wa zamani wa Italia Profesa CostaMahalu.Wajumbe 20 wanaowakilisha asasi za kiraia ni      Magdalena Rwebangira,  Kingunge Ngombale Mwiru, Asha Mtwangi, Maria Sarungi,  Paul Kimiti     Valerie Msoka,  Fortunate Kabeja, Sixtus Raphael Mapunda,Elizabeth  Minde,Happiness Sengi na Evod Mmanda,  Godfrey Simbeye na  Mary  Daffa Zanzibar: Idrissa Kitwana Mustafa, Siti Abbas Ali, Abdalla Abass Omar, Salama Aboud Talib, Juma Bakari Alawi,Salma Hamoud Said, Adila Hilali Vuai
    
TAASISI ZA KIDINI

Bara:Tamrina Manzi, Olive Luwena, Shamim Khan,   Mchungaji Ernest Kadiva, Sheikh Hamid Masoud Jongo,   Askofu Mkuu (Mstaafu) Donald Leo Mtetemela, Magdalena Songora, Hamisi Togwa,   Askofu Amos Muhagachi,Easter Msambazi,Mussa Kundecha, Respa Miguma na Profesa Costa Mahalu
   
ZANZIBAR:
 Sheikh Thabit Nouman Jongo, Suzana Peter Kunambi, Sheikh Nassoro Mohammed Ibrahimu,Fatma Mohammed Hassan, Louis Majaliwa
Yasmin Yusufali H alloo,Thuwein Issa Thuwein
   
VYAMA VYA SIASA: (wajumbe 42)
BARA: Hashim Spunda, Thomas  Mgoli, Rashid Hashim Mtuta, Shamsa Mwangunga,  Yusuf  Manyanga,Christopher Mtikila,  Bertha Ng’angompata, Suzan Marwa,Dominick Lyamchai,    Mbwana Kibanda, Peter Kuga Mziray na  Isaac Manjoba Cheyo,

Wengine ni Dk. Emmanuel John Makaidi,  Profesa, Ibrahim Haruna Lipumba, Modesta Kizito Ponera,  Prof. Abdallah Safari, Salumu Seleman Ally,   James Kabalo Mapalala, Mary Oswald Mpangala,      Mwaka Lameck Mgimwa, Nancy   Mrikaria,  Nakazael Lukio Tenga,Fahmi Nasoro Dovutwa Mwenyekiti wa CCK    Costantine  Benjamini Akitanda,Mary Moses Daudi,  Magdalena Likwina John Dustan Lifa Chipaka,  Rashid Mohamed  na Ligania Rai

ZANZIBAR (14)

Ni   Ally Omar Juma, Vuai Ali Vuai,Mwanaidi , Othman Twahir, Jamila Abeid Saleh,  Mwanamrisho Juma Ahmed,Juma Hamis Faki,  Tatu Mabrouk Haji, Fat –Hiya Zahran Salum, Hussein Juma,  Zeudi Mvano Abdullahi. Juma Ally Khatibu, Haji Ambar Khamis, Khadija Abdallah Ahmed na  Rashid Yussuf Mchenga

TAASISI ZA ELIMU

BARA : Ni pamoja na  Dk. Suzan Kolimba, Profesa. Esther Daniel Mwaikambo, Dk. Natujwa Mvungi,   Prof. Romuald Haule,  Dk. Domitila Bashemera,  Dr. Jasmine Bendantunguka Tiisekwa,  Profesa. Bernadeta Kilian na  Teddy Ladislaus Patrick.

Wajumbe wengine ni  Dr. Francis Michael, Profesa. Remmy Assey,Dk. Tulia Ackson, Dk. Ave MariaEmilius Semakafu na Profesa   Hamza Mustafa Njozi   

ZANZIBAR (7)

Wajumbe wa taasisi hizi ni   Makame Omar Makame, Fatma Hamid Saleh,  Dr. Aley Soud Nassor, Layla Ali Salum, Dk. Mwinyi Talib Haji,    Zeyana Mohamed Haji na    Ali Ahmed Uki

WALEMAVU-(WAJUMBE 20)
BARA (13)

Walioteuliwa ni  Zuhura Musa Lusonge,Frederick Msigala, Amon Anastaz Mpanju, Bure Zahran,Edith Aron Dosha, Vincent Venance Mzena, Shida Salum Mohamed,Dk. Henry Mwizengwa Nyamubi na        Elias Msiba Masamaki.

Wengine ni    Faustina Jonathan Urassa,  Doroth Stephano Malelela,  John Josephat Ndumbaro
na Ernest Njama Kimaya

ZANZIBAR (7)
Kutoka Visiwani ni Haidar Hashim Madeweyya,   Alli Omar Makame,Adil Mohammed Ali,Mwandawa Khamis Mohammed, Salim Abdalla Salim, Salma Haji Saadat na Mwantatu Mbarak Khamis
   
WAFANYAKAZI-(WAJUMBE 19)
BARA (13)

Walioteuliwa ni  Honorata Chitanda,Dk. Angelika Semike, Ezekiah Tom Oluoch, Adelgunda Michael Mgaya, Dotto Biteko, Mary Gaspar Makondo,    Halfani Shabani Muhogo, Yusufu Omari Singo,    Joyce Mwasha, Amina Mweta ,Mbaraka Hussein Igangula,  Aina Shadrack Massawe na Lucas Charles Malunde
   
ZANZIBAR (6),

Wajumbe wa wafanyakazi ni Khamis Mwinyi Mohamed,Jina Hassan Silima,Makame Launi Makame,Asmahany Juma Ali, Mwatoum Khamis Othman na Rihi Haji Ali
   
VYAMA VYA WAFUGAJI (10)
BARA
:  Ni  William Tate Olenasha, Makeresia Pawa
Mabagda Gesura Mwataghu, Doreen Maro, Magret Nyaga,  Hamis Mnondwa na Ester Milimba Juma.
   
ZANZIBAR
: Watawakilishwa na  Said Abdalla Bakari, Mashavu Yahya na   Zubeir Sufiani Mkanga
       
VYAMA VYA WAVUVI
BARA:
 Watawakilishwa na Hawa  Mchafu,  Rebecca Masato, Thomas Juma Minyaro, Timtoza Bagambise,     Tedy Malulu, Rebecca Bugingo na  Omary . Husseni
   
 ZANZIBAR: Waziri Rajab,Issa Ameir Suleiman na   Mohamed Abdallah Ahmed
   
WAKULIMA BARA (13)
Agatha  Harun Senyagwa,Veronica Sophu, Shaban Suleman Muyombo,Catherine Gabriel Sisuti, Hamisi Hassani Dambaya,  Suzy Samson Laizer,  Dk.Maselle Zingura Maziku, Abdallah Mashausi na     Hadijah Milawo Kondo,  Rehema Madusa,   Reuben R. Matango,  Happy Suma na   Zainab Bakari Dihenga,

ZANZIBAR: Wajumbe wa wakulima ni  Saleh Moh’d Saleh,Biubwa Yahya Othman, Khamis Mohammed Salum, Khadija Nassor Abdi ,  Fatma Haji Khamis,  Asha Makungu Othman na   Asya Filfil Thani.
   
WENYE MALENGO YANAYOFANANA – (
BARA
: Dk. Christina Mnzava,  Paulo Christian Makonda,  Jessica Msambatavangu, Julius Mtatiro,      Katherin Saruni, Abdallah Majura Bulembo,Hemed Abdallah Panzi,  Dk. Zainab Amir Gama,  Hassan Mohamed Wakasuvi na      Paulynus Raymond Mtendah.

Wengine ni   Almasi Athuman Maige,   Pamela Simon Massay, Kajubi Diocres Mukajangwa,Kadari Singo.

ZAZIBAR :Ni   Yussuf Omar Chunda,  Fatma Mussa Juma,  Profesa Abdul Sheriff, Amina Abdulkadir Ali,   Shaka Hamdu Shaka na  Rehema Said Shamte.
Majina haya yamechaguliwa kutoka taasisi 554 za  Bara na 178 za Zanzibar zilizowasilisha mapendekezo yao Ikulu.

Rais Kikwete kwa kushirikiana na  Rais wa Zanzibar Dk Ali  Mohamed Shein , walichagua majina hayo kutoka wajumbe 2,762 waliopendekezwa.

Imeandaliwa na Romana Mallya, Thobias Mwanakatwe  na Moshi Lusonzo


 
CHANZO: NIPASHE

No comments:

Post a Comment