Godfre Mgimwa (kushoto) akiwa na Katibu wa CCM Mkoa wa Iringa, Hassan Mtenga wakati wakizungumza na wanahabari leo hii. Taarifa zilizopo zinaeleza kwamba rufaa ya Chadema imetupwa na sasa ni kujiandaa na uchaguzi wa Machi 16.
Pingamizi la Chadema:
1. Godfrey Mgimwa amezaliwa nje na kukulia nje ya nchi na hakuna documents zozote zinazoonyesha kuwa alishawahi kuomba uraia wa Tanzania au kukana uraia wa nje.
2. Baadhi ya wadhimini wake sio wapiga kura wa Kalenga (hawatokei Kalenga na hawaishi Kalenga bali nje ya Kalenga) ni kinyume na kanuni kwenye fomu ya ugombea.
3. Kwenye fomu amejaza kuwa siku ya uteuzi ilikuwa tarehe 16 wakati siku ya uteuzi ni tarehe 18. Moja ya sharti la fomu ni "Kujaza fomu kwa usahihi"
Hayo ni mapingamizi kwa Mgimwa kijana ambaye ameijua Kalenga baada ya kuja kushiriki kifo cha baba yake akitokea Ulaya.

No comments:
Post a Comment