Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Tuesday 29 July 2014

RAIS KIKWETE ASALI SWALA YA EID EL FITR DAR

D92A2961
Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya waumini wa dini ya kiislamu muda mfupi baada ya kuswali sala ya Iddi El Fitr katika mshikiti wa Maamur Upanga jijini Dar es Salaam leo asubuhi.
D92A2982

D92A3004
D92A2839
Baadhi ya waumini wa dini ya kiislamu wakiswali sala ya Idd El Fitr katika Masjid Maamur Upanga jijini Dar es Salaam leo asubuhi. (Picha na Freddy Maro)

No comments:

Post a Comment