Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Sunday 27 July 2014

CHEYECH AIPATIA KENYA MEDALI YA DHAHABU GLASGOW

Flomena Cheyech na Caroline Kilel
Mkenya Flomena Cheyech Daniel ameshinda medali ya dhahabu katika mbio za marathon kwenye mashindano ya Jumuiya ya Madola mjini Glasgow.
Amemshinda Mkenya mwenzake Caroline Kilel aliyekuwa wa pili na kushinda medali ya fedha.
Kwa upande wa wanaume Michael Shelley kutoka Australia ameshinda medali ya dhahabu.
Amemtangulia Mkenya Stephen Chemlany.
Michael Shelley ametumia muda wa saa 2 dakika 11 na sekunde 15 akimzidi wa pili kwa sekunde 43.
Mganda Philip Kiplimo amenyakua nafasi ya tatu.
Matokeo ya mbio za wanaume

1. Michael Shelley Aus 02:11:15
2 Stephen Chemlany Ken 02:11:58 +0:43
3 Abraham Kiplimo Uga 02:12:23 +1:08
4 Munyo Solomon Mutai Uga 02:12:26 +1:11
5 John Ekiru Kelai Ken 02:12:41 +1:26
6 Erick Ndiema Ken 02:13:44 +2:29
7 Liam Adams Aus 02:13:49 +2:34
8 Philip Kiplimo Uga 02:14:09 +2:54
BBCSWAHILI

No comments:

Post a Comment