Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Sunday 27 July 2014

ILIVYOKUWA MWANZA WAKATI MWIGULU NCHEMBA ALIPOUNGURUMA

 Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara), Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, akiwasili kwenye Viwanja vya Furahisha jijini Mwanza, kuhutubia mkutano wa hadhara, uliofanyika leo jioni. Katika Mkutano huo, Mwigulu amezungumzia mambo mbalimbali ikiwemo, umuhimu wa wanasiasa na Watanzania kwa jumla kutolifanyia mzaha suala la mchakato wa Katiba mpya akivitaka vyama vya upinzani kuthamini zaidi vikao vya Bunge la Katiba ili kukamilisha mchakato huo kwa mazungumzo na mjadala uliojaa hekima badala ya kwenda mitaani kusumbua wananchi.
 Mwigulu akisalimia wananchi kwenye Uwanja huo
 Mwigulu akuhutubia wananchi kwenye Viwanja hivyo vya Furahisha jijini Mwanza
Wananchi kwenye mkutano huo. (Picha zote na Ofisi na Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara)

No comments:

Post a Comment