Yatima,
walemavu wa ngozi na watoto walio katika mazingira magumu wakipakua
futari waliyoandaliwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam jana Jumapili jioni

Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa meza kuu na viongozi wa vituo mbalimbali
vya yatima, walemavu wa ngozi na watoto walio katika mazingira magumu
wakati wa futari aliyowaandalia Ikulu jijini Dar es Salaam jana
Jumapili jioni
Yatima,
walemavu wa ngozi na watoto walio katika mazingira magumu wakipakua
futari waliyoandaliwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam jana Jumapili jioni
Vijana kutoka Chama cha Albino Wilaya ya Kinondoni wakimshukuru Mama Salma Kikwete kwa futari
Vijana
kutoka Chama cha Albino Wilaya ya Kinondoni wakipata picha ya pamoja na
Mama Salma Kikwete baada ya futari waliyoandaliwa na Rais Kikwete
Rais
Kikwete akipita meza moja baada ya ingine kuwasalimia yatima, walemavu
wa ngozi na watoto walio katika mazingira magumu wakati wa futari
aliyowaandalia Ikulu jijini Dar es Salaam jana Jumapili jioni

Jakaya Mrisho Kikwete akiwashukuru kwa kuja viongozi wa vituo
mbalimbali vya yatima, walemavu wa ngozi na watoto walio katika
mazingira magumu katika futari aliyowaandalia Ikulu jijini Dar es Salaam jana Jumapili jioni
Mama Salma Kikwete akitoa neno la shukurani kwa waalikwa kwenye futari hiyo
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongozana na mtoto Khaitham Jumbe Jumbe ambaye alimuandalia zawadi
Rais
Kikwete na mkewe mama Salma Kikwete wakipokea zawadi toka kwa mtoto
Khaitham Jumbe Jumbe mwenye umri wa miaka saba na mwanafunzi wa darasa
la pili katika shule ya msingi ya Yemen iliyoko Uwanja wa Taifa jijini
Dar es Salaam.

Dar es salaam. Aliyeketi kushoto ni Bi. Mwajuma Hassan wa Chama cha
Albino Wilaya ya Kinondoni.
Wageni waalikwa wakifurahia zawadi walizopewa kwenye futari hiyo
Yatima,
walemavu wa ngozi na watoto walio katika mazingira magumu wakipakua
futari waliyoandaliwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam jana Jumapili jioni
Yatima,
walemavu wa ngozi na watoto walio katika mazingira magumu wakipakua
futari waliyoandaliwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam jana Jumapili jioni
Yatima,
walemavu wa ngozi na watoto walio katika mazingira magumu wakipakua
futari waliyoandaliwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es
salaam jana Jumapili jioni
Rais Kikwete akipakua futari Ikulu jijini Dar es Salaam jana Jumapili jioni
Yatima,
walemavu wa ngozi na watoto walio katika mazingira magumu wakiswali
swala ya Magharibi wakati wa futari waliyoandaliwa na Rais Jakaya
Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam jana Jumapili jioni.
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment