Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Sunday 27 July 2014

WAAMUA KUKAA UCHI KUTETEA HAKI ZA MASHOGA

KUNRADHI KWA PICHA HIZI: WENZETU WANAONYESHA MSISITIZO KATIKA MAMBO YA KIJAMII WANAYOONA HAYAENDI SAWA.

Source: Warwick Rowers

Wachezaji wa timu ya wapiga makasia wanaume ya Chuo Kikuu cha Warwick (University of Warwick men's rowing team) imekuwa ikipinga ubaguzi wa mapenzi ya jinsi moja michezoni (ushoga na usagaji) kwa miaka mitano sasa katika njia wanayoamini kwamba ndiyo sahihi - kwa kusaula nguo zao zote wakati wa mwanzo wa msimu
Tangu mwaka 2009, timu hiyo imekuwa ikiunga mkono Sport Allies, programu iliyojikita kuwasaidia vijana ambao wanakabiliwa na changamoto ya ushoga, usagaji, udhalilishwaji na kutojiamini. 
Wachezaji hao walipamba vichwa vya habari kwenye vyombo ya habari mwaka 2013, na wiki hii, ambapo walipiga picha mbalimbali wakiwa uchi huku wakiendelea na shughuli zao mbalimbali kujiandaa na msimu mpya wa 2015. 
Chanzo: Warwick Rowers

No comments:

Post a Comment