Kijana mmoja nchini Malawi Fletcher Jere (26)
amefariki dunia kutokana na kuzidiwa utamu wakati akifanya ngono na
kahaba mmoja mjini Blantyre.
Gazeti la Daily Times nchini
Malawi limeripoti kuwa kijana huyo alinunua kahaba huyo maeneo ya
Ndirabe katikati ya jiji la Blantyre.
Afisa wa Polisi mjini
Blantyre Bi.Edina Ligowe amesema Jerre alikufa kutokana na kuwa na hisia
za juu sana pamoja na kuhisi utamu iliopitiliza wakati akifanya ngono
na kahaba huyo (sexual excitement and sweetness).
Aidha Afisa
huyo amesema kuwa kahaba huyo hatafunguliwa mashtaka yoyote kwa sababu
hakuna kosa alilofanya kwa yeye kuwa mtamu kupitiliza. "She committed no
crime by being too sweet to the man"
CREDIT: WANABIDII
No comments:
Post a Comment