Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...
Saturday, 5 July 2014
MAMA SALMA KIKWETE ATEMBELEA MAONESHO YA SABASABA
Mke wa Rais MamaSalma Kikwete (katikati mwenye kitenge)akitembelea leomaonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea kwenye viwanja vya sabasaba jijini Dares Salaam.Kuliani Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sophia Mjema. Mke wa Rais Mama Salma Kikwete (katikati mwenye kitenge)akipata maelezo leo kuhusu bidhaa mbalimbali kutoka kwa Bi mkubwa Juma kwenye banda la Zanzibar katika maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea kwenye viwanja vya sabasaba jijini Dares Salaam.Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sophia Mjema. Mke wa Rais MamaSalma Kikwete (katikati mwenye kitenge) akipokelewana Mke wa Rais wa Awamu ya Tatu , Mama Anna Mkapawakati alipotembelea leo maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea kwenye viwanja vya sabasaba jijini Dares Salaam.Kuliani Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sophia Mjema. Mke wa Rais MamaSalma Kikwete akiakiangalia aina za ungo wakati alipotembelea leobanda la Mke wa Rais wa Awamu ya Tatu , Mama Anna Mkapakwenyemaonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea kwenye viwanja vya sabasaba jijini Dares Salaam.Kuliani Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sophia Mjema. Mke wa Rais MamaSalma Kikwete akipata maelezo kuhusu vitabu vya mchakato wa Rasimu ya Katiba mpya na vya sheriakutoka kwa TheresiaKinabo ,ambaye ni Afisa Tawala wa Kituo chaSheria na Haki za Binadamu(LHRC) (aliyenyoosha mkono) na pembeni yake ni Benadeta Thomasamabye ni AfisaSheriawakati alipotembelea leobanda laMke wa Rais wa Awamu ya Tatu , Mama Anna Mkapakwenye maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea kwenye viwanja vya sabasaba jijini Dares Salaam.
No comments:
Post a Comment