Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Tuesday 3 June 2014

MAJANGA: ORODHA HII YA VIGOGO WA DAWA ZA KULEVYA MBONA INATISHA JAMANI?


Ndugu zangu,
Kwa muda mrefu sasa Tanzania imeendelea kushuhudia vijana wake wakikamatwa nje ya nchi kutokana na sababu za kujihusisha na usafirishaji na biashara haramu ya dawa za kulevya.
Wengi kati ya vijana hawa ni wadogo, japokuwa wapo watu wazima. Lakini wengi wao wamekamatwa na kufungwa Uchina, akiwemo msanii Jack Patrick.
Tumeshuhudia pia taarifa za kukamatwa kwa wafanyabiashara hao hapa nchini, tunaamini kesi zao zinaendelea katika mahakama za sheria.
Hata hivyo, juhudi hizi zinaonekana bado hazijaweza kudhibiti wimbi la biashara hiyo haramu licha ya vyombo vya habari kuripoti kila wakati.
Tanzania imeendelea kuwa kitovu cha upitishaji wa dawa hizo kutoka Mashariki ya Kati na ya Mbali pamoja na Amerika Kusini. Mitandao inapishana kulikana na wateja wa wafanyabiashara wenyewe.
Ile orodha ndefu ambayo tulielezwa kwamba imefikishwa mezani kwa Rais Jakaya Kikwete tangu mwaka 2006 ikiwataja wafanyabiashara, wanasiasa na viongozi wa dini, hatujajua imefikia wapi utekelezaji wake, kwani tunaelezwa kwamba wanaokamatwa wengi wao ni 'dagaa' tu siyo 'nyangumi' wa biashara hiyo.
Blogu hii, licha ya vitisho kadhaa ambavyo imeanza kuvipokea kutoka kwa watu wasiojulikana, lakini imeazimia - kizalendo kabisa - kuendelea kuchapisha taarifa mbalimbali za biashara hiyo haramu.
Kama hukubahatika kuzisoma taarifa mbalimbali kuhusiana na biashara hiyo ya dawa za kulevya katika kipindi cha miezi michache iliyopita, hapa kuna 'links' mbalimbali ambazo zitakufungua macho kuhusu orodha ndefu ya watu maarufu wanaotajwa na wanaodaiwa kuwa wafungwa wa Kitanzania huko Hong Kong, kwamba ndio wanaojihusisha na biashara hiyo.
Changia mawazo yako tafadhali, tuliokoe taifa letu na vizazi vyetu.

http://brotherdanny5.blogspot.com/2014/01/barua-kutoka-china-vigogo-wa-dawa-za.html

http://brotherdanny5.blogspot.com/2014/01/dawa-za-kulevya-china-ni-shaba-tu-kwa.html

http://brotherdanny5.blogspot.com/2014/01/barua-kutoka-china-vigogo-wa-dawa-za_16.html

http://brotherdanny5.blogspot.com/2014/01/barua-kutoka-china-vigogo-wa-dawa-za_17.html

http://brotherdanny5.blogspot.com/2014/01/masogange-amtaja-kigogo-wa-dawa-za.html

http://brotherdanny5.blogspot.com/2014/01/barua-kutoka-china-vigogo-wa-dawa-za_19.html

http://brotherdanny5.blogspot.com/2014/01/ndugu-zangu-watanzania-wameendelea.html

http://brotherdanny5.blogspot.com/2014/01/how-drug-trafficking-tainted-tanzanias.html

http://brotherdanny5.blogspot.com/2014/01/another-drug-mule-arrested.html

http://brotherdanny5.blogspot.com/2014/01/narcotics-trafficker-dragged-in-dar.html

http://brotherdanny5.blogspot.com/2014/01/radical-measures-needed-to-tackle.html

http://brotherdanny5.blogspot.com/2014/01/barua-kutoka-china-vigogo-wa-dawa-za_21.html

http://brotherdanny5.blogspot.com/2014/01/barua-kutoka-china-vigogo-wa-dawa-za_23.html

http://brotherdanny5.blogspot.com/2014/01/barua-kutoka-china-vigogo-wa-dawa-za_26.html

http://brotherdanny5.blogspot.com/2014/01/barua-kutoka-china-vigogo-wa-dawa-za_29.html

http://brotherdanny5.blogspot.com/2014/01/barua-kutoka-china-vigogo-wa-dawa-za_30.html

http://brotherdanny5.blogspot.com/2014/02/zaidi-ya-kilo-200-za-dawa-za-kulevya.html

http://brotherdanny5.blogspot.com/2014/02/barua-kutoka-china-vigogo-wa-dawa-za.html

http://brotherdanny5.blogspot.com/2014/02/raia-12-wa-iran-pakistan-kortini-kwa.html

http://brotherdanny5.blogspot.com/2014/02/barua-kutoka-china-vigogo-wa-dawa-za_9.html

http://brotherdanny5.blogspot.com/2014/02/barua-kutoka-china-vigogo-wa-dawa-za_12.html

http://brotherdanny5.blogspot.com/2014/02/meli-iliyonaswa-na-unga.html

http://brotherdanny5.blogspot.com/2014/03/barua-kutoka-china-dawa-za-kulevya-14.html

http://brotherdanny5.blogspot.com/2014/03/bilionea-anaswa-kwa-unga-dar.html

http://brotherdanny5.blogspot.com/2014/03/hizi-ndizo-barua-zilizomtaja-shikuba.html

http://brotherdanny5.blogspot.com/2014/03/barua-kutoka-china-vigogo-wa-dawa-za.html

http://brotherdanny5.blogspot.com/2014/03/barua-kutoka-china-vigogo-wa-dawa-za_11.html

http://brotherdanny5.blogspot.com/2014/03/vigogo-watatu-wadaiwa-kupigwa-ban.html

http://brotherdanny5.blogspot.com/2014/03/waziri-ataka-masogange-akamatwe.html

http://brotherdanny5.blogspot.com/2014/03/barua-kutoka-china-vigogo-wa-dawa-za_13.html

http://brotherdanny5.blogspot.com/2014/03/barua-kutoka-china-vigogo-wa-dawa-za_17.html

http://brotherdanny5.blogspot.com/2014/03/barua-kutoka-china-vigogo-wa-dawa-za_18.html

http://brotherdanny5.blogspot.com/2014/03/barua-ya-wafungwa-wa-dawa-za-kulevya.html

http://brotherdanny5.blogspot.com/2014/03/vigogo-wa-dawa-za-kulevya-barua-ya-wazi_21.html

http://brotherdanny5.blogspot.com/2014/03/china-haitawanyonga-watanzania-15.html

http://brotherdanny5.blogspot.com/2014/04/watatu-wakamatwa-na-bangi-kwenye-basi.html

http://brotherdanny5.blogspot.com/2014/04/jk-sitaki-tena-kusikia-dawa-za-kulevya.html


No comments:

Post a Comment