Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na familia ya Waziri wa Nishati na Madini Profesa Peter Muhongo (hayupo pichani) baada ya Bunge kupitisha bajeti ya Wizara hiyo mjini Dodoma Mei 30, 2014. Wapili kulia ni Mke wa Waziri huyo, Bertha Mamuya na wengine ni mabinti wa Waziri , Nyasige Sospeter (kushoto) na Bertha Kimariyo . (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
CHANZO FULL
SHANGWE
No comments:
Post a Comment