Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Tuesday 27 May 2014

DKT.SHEIN AZUNGUMZA NA WAHADHIRI CHUO KIKUU CAIRO

IMG_1814Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein (kulia)akizungumza na Ujumbe wa Wahadhiri wa Chuo Kikuu cha Cairo,unaoongozwa na Prof. Ibrahim  Elsayed Gaber, (wa pili kulia) ujumbe huo ulifika Ikulu Mjini Zanzibar jana asubuhi,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
IMG_1827Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein (kulia)akizungumza na Ujumbe wa Wahadhiri wa Chuo Kikuu cha Cairo, ulipofika Ikulu Mjini Zanzibar jana asubuhi,(kushoto) Mshauri wa Rais mambo ya Nje ya nchi Balozi Mohamed Ramia Abdiwawa.[Picha na  Ramadhan Othman,Ikulu.]
IMG_1899Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein akiagana na Prof.Ibrahim  Elsayed Gaber,Kiongozi  wa  Ujumbe wa Wahadhiri wa Chuo Kikuu cha Cairo,ulipofika Ikulu Mjini Zanzibar jana,baada ya mazungumzo .[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]



CHANZO FULL SHANGWE

No comments:

Post a Comment