Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Thursday 29 May 2014

KINANA AUNGURUMA MBULU,AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO

1
3 4 12 11
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimkabidhi kadi Bi Victoria Mshanga aliyekuwa mwenyekiti wa Wanawake chama cha CHADEMA Hydom mara baada ya kujiunga na CCM.
10 9 8 6 5 13
Kikundi cha ngoma kikitumbuiza wakati wa mapokezi ya Katibu mkuu kijiji cha Eshkash.
15 17
Umati mkubwa katika mkutano wa hadhara uliofanyika mjini Mbulu
18
Nape Nnauye Katibu wa NEC Siasa, Itikadi na Uenezi akiwahutubia wananchi katika mkutano wa hadhara mjni Mbulu.



CHANZO FULL SHANGWE

No comments:

Post a Comment