Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Tuesday 27 May 2014

KATIBU MKUU WA CCM AMALIZA ZIARA SINGIDA, KESHO ZAMU YA MANYARA

1Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mh. Lazaro Nyalandu Mbunge wa jimbo la Singida Mashariki na Waziri wa Maliasili wakati alipopokelewa katika kata ya Msisi halmashauri ya wilaya ya Singida vijijini akiwa katika ziara yake ya kukagua miradi mbalimbali inayotekelezwa na serikali pamoja na wananchi na kukagua utekelezaji wa ilani ya uchaguzi wa chama cha Mapinduzi ya mwaka 2010 na kusikiliza kero za wananchi na kuazipatia ufumbuzi, katika ziara hiyo Kinana anaongozana na Katibu wa NEC Siasa, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye na Mjumbe wa kamati kuu ya CCM kutoka Zanzibar Bi. Khadija Aboud ambapo leo amemaliza ziara yake  katika mkoa wa Singida na kesho anaendelea na ziara hiyo katika mkoa wa Manyara.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-SINGIDA)1aKatibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana na Mh. Lazaro Nyalandu Mbunge wa jimbo la Singida Mashariki na Waziri wa Maliasili wakishiriki katika ujenzi wa jengo la kiwanda cha kukamua mafuta ya alizeti cha KONGANO katika kata ya Mtinko.16Kituo cha afya cha kijiji cha Mkenge.15Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akiongoza na Dk. Karistone Mwenda mganga mkuu wa wilaya ya Singida vijijini wakiongoza na mara baada ya kukagua nyumba za madaktari zilizojengwa kwa msaada wa taasisi ya William Benjamin Mkapa katika kijiji cha Mkenge14Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akiongoza na Dk. Karistone Mwenda mganga mkuu wa wilaya ya Singida vijijini wakiongoza na mara baada ya kukagua nyumba za madaktari zilizojengwa kwa msaada wa taasisi ya  Benjamin William Mkapa katika kijiji cha Mkenge, kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Singida Dr. Parseko Kone.13Hizi ndiyo nyumba za madaktari katika kituo cha afya cha Mkenge zilizojengwa na taasisi ya Bwnjamin William Mkapa .12Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akimpa chanjo ya polio mtoto Erick Gabriel umri wa wiki mbili aliyeshikwa na mama yake Bi. Marina Gabriel mwenye wakati alipotembelea na kukagua kituo cha afya cha Mkenge.11Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akisaini kitabu cha wageni.10Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki  kazi ya kupukuchua mtama kwa mashine mara baada ya kukagua shamba la mtama na kushiriki shughuli za uvunaji katika kata ya Mkenge, kulia kwake ni Nape Nnauye.9Nape Nnauye akiwasha mashine ya kupukuchua mtama.8Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana , kulia Mh. Lazaro Nyalandu Mbunge wa jimbo la Singida kaskazini na kushoto Dk. Parseko Kone mkuu wa mkoa wa Singida wakishiriki kazi ya kuvuna mtama.7Shamba la mtama katika kata ya Mkenge zlikiwa na mazao ya  mtama tayari kwa kuvuna.6Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wananchi katika kata ya  Mtinko.5Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akimsikiliza Mbunge wa jimbo la Singida Kaskazini Mh. Lazaro Nyalandu wakati wa mkutano wa hadhara kata ya Mtinko.3Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana , kulia Mbunge wa jimbo la Singida Mashariki Mh. Lazaro Nyalandu na kushoto Nape Nnauye Katibu  NEC Itikadi, Siasa na uenezi wakielekea kwenye eneo la mkutano wa hadhara.2KJengo la kiwanda cha kusindika mafuta ya alizeti wakiendelea na ujenzi katika hatua za mwisho za kukamilika kwa jengo hilo.Baadhi ya makatibu wa kata waliopokea vyeti kama ishara ya kupokea miradi mbalimbali yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 47 kwa kila kata wakiwa na vyeti vyao mara baada ya kukabidhiwa na Katibu mkuu  wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana kutoka kwa mbunge wa jimbo hilo Mh. Lazaro Nyalandu.20Nape Nnauye Katibu wa NEC Siasa, Itikadi na Uenezi akizungumza na wananchi wa kata ya Msange katika mkutano wa hadhara.19Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM  Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki katika kazi ya kufunga milango katika jengo la Hosteli ya shule ya sekondari ya Maghojoa iliyopewa jina la Maria ambalo ni jina  la mwanafuzi aliyekuwa akisoma katika shule hiyo aliyeuwawa katika mazingira ya kutatanisha, kisho mbunge wa jimbo hilo Mh. Lazaro Nyalandu akaanzisha ujenzi wa hosteli ya wasichana katika shule hiyo ili wasome wakiwa salama.17Hili ndilo bweni lenyewe lililopewa jina la Marehemu Maria aliyekuwa akisoma katika shule ya sekondari ya Maghojoa.


CHANZO FULL SHANGWE

No comments:

Post a Comment