Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Friday 30 May 2014

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AHANI MSIBA WA MKE WA KATIBU MKUU WA WIZARA YA FEDHA

1 (3)Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisaini kitabu cha maombolezo ya kifo cha mke wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Uchumi, Dkt. Servacius Likwelil, wakati alipofika kumfariji Katibu huyo nyumbani kwake Boko Jijini Dar es Salaam, jana jioni. Mazishi yanatarajia kufanyika leo jioni kwenye Makaburi ya Kinondoni. Picha na OMR
3 (1)Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akijumuika na waombolezaji katika msiba wa mke wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Uchumi,  Dkt. Servacius Likwelil, wakati alipofika kumfariji Katibu huyo nyumbani kwake Boko Jijini Dar es Salaam, jana jioni. Mazishi yanatarajia kufanyika leo jioni kwenye Makaburi ya Kinondoni. Picha na OMR
4 (1)Naibu Waziri wa Fedha na Uchumi, Adama Malima, akizungumza machache katika shughuli hiyo ya kuhani msiba huo.
CHANZO FULL SHANGWE

No comments:

Post a Comment