Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Thursday 29 May 2014

BUNGENI LEO


Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makazi,Mhe. Prof. Anna Tibaijuka akiwa amebeba Makabrasha wakati akielekea kwenda kujibu hoja za Waheshimiwa Wabunge wakati Bunge likijadili Bajeti ya Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makazi kwa Mwaka 2014/2015.


Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makazi,Mhe.Anna Tibaijuka akijibu Hoja za Wabunge wakati Bunge likijadili Bajeti ya Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makazi kwa Mwaka 2014/2015. 

Naibu Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makazi Mhe.George Simbachawene akimpa mkono wa kumpongeza Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makazi,Mhe.Anna Tibaijuka mara baada ya kumaliza kujibu hoja za Wabunge wakati Bunge likijadili Bajeti ya Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makazi kwa Mwaka 2014/2015


Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makazi,Mhe.Anna Tibaijuka akiongozana na Naibu Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makazi Mhe.George Simbachawene wakati wakielekea kwenda kuandaa hoja za kujibu wabunge, wakati Bunge lilipojadili Bajeti ya Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makazi kwa Mwaka 2014/2015. 

CHANZO DJ SEK BLOG

No comments:

Post a Comment