Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Friday, 23 May 2014

KATIBU MKUU CCM ABDULRAHMAN KINANA LEO ALIKUWA JIMBO LA SINGIDA MAGHARIBI

1Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishirikiana na mkulima Bw.Bernaldo Lazaro kuvuna viazi vitamu katika shamba la mkulima huyo  wakati alipomtembelea shamabani  kwake katika kata ya Puma leo, akiwa katika ziara yake ya kukagua miradi ya maendeleo  na kuimarisha uhai wa chama cha Mapinduzi na kukagua utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM  ya mwaka 2010, Katika ziara hiyo Kinana ameongozana na  Nape Nnauye Katibu wa NEC Siasa, Itikadi na Uenezi ambapo leo walikuwa katika jimbo la Singida Magharibi. (PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-SINGIDA MAGHARIBI)2 - Copy - Copy (2)Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana kulia, Nape Nnauye katikati na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Singida  wakishiriki kuvuna viazi vitamu katika shamba la Bw. Bernaldo Lazaro wakati alipomtembelea mkulima huyo shambani kwake kata ya Puma mkoani Singida.
13Wananchi wakiwa wamejitokeza kwa wingi katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye kata ya Sepuka leo14Kikundi cha ngoma kikitumbuiza katika mkutano huo.16Baadhi ya wananchi wakifuatilia kwa karibu hotuba zilizokuwa zikitolewa katika mkutano huo.19Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye kata ya Sepuka katika jimbo la Singida Magharibi.3Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki katika ujezi wa Zahanati ya Mnag’ana katika jimbo la Singida Magharibi inayojengwa kwa nguvu za wananchi pamoja na Serikali.20Baadhi ya wazee wakiwa katika mkutano huo.21Kukindi cha vijana wa muziki wa kizazi kipya kutoka kata ya Sepuka kikitumbuiza katika mkutano huo.15Nape Nnauye Katibu wa NEC Siasa, Itikadi na Uenezi akiwahutubia wananchi katika mkutano wa hadhara kwenye kata ya Sepoka.
CHANZO FULL SHANGWE

No comments:

Post a Comment