Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Saturday 2 August 2014

RAIS KIKWETE AWASILI WASHINGTON KUHUDHURIA MKUTANO WA VIONGOZI WA WAKUU WA NCHI NA SERIKALI WA AMERIKA NA AFRIKA

dc1[1]

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Dulles tayari kwa Mkutano wa Viongozi wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Amerika na Africa (US-Africa Leaders summit) uliondaliwa na Rais Barak Obama unaoanza Agosti 4-hadi 6, 2014, ambao utatanguliwa na mikutano mingine ya maendeleo ya sekta mbalimbali na uwekezaji  (2-3 Agosti, 2014)  jijini Washington DC. PICHA NA IKULU
dc3[1]
dc4[1]

No comments:

Post a Comment