Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Monday 4 August 2014

RAIS KIKWETE AKUTANA NA WANAJUMUIYA YA WATANZANIA WA DMV KATIKA MKUTANO WA DIASPORA JIJINI WASHINGTON‏


Viongozi wa Jumuiya ya Watanzania DMV wakati wakimsubiri Rais Jakaya Mrisho Kikwete Jumapili Julai 3, 2014 katika hoteli ya Marriot jijini Washington DC

Viongozi wa Jumuiya ya Watanzania DMV wakati wakimsubiri Rais Jakaya Mrisho Kikwete Jumapili Julai 3, 2014 katika hoteli ya Marriot jijini Washington DC

Wajumbe wa Bodi ya Jumuiya ya Watanzania DMV

Rais Kikwete akimsalimia mmoja wa watoto waliokuwepo kumlaki

Rais Kikwete akilakiwa na wanajumuiya

Rais Kikwete, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernad Membe, Balozi wa Tanzania Marekani Mhe Liberata Mulamula na Bi Rose Jairo, Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Diaspora wakijadiliana jambo meza kuu

Sehemu ya wanajumuiya na wageni toka sehemu mbalimbali wakiwa katika mkutano huo

Washiriki wa mkutano huo

Wanajumuiya wakiwa wametulia mkutanoni

Baadhi ya wanajumuiya.

Wanajumuiya toka kila kona ya DMV na sehemu mbalimbali za Marekani

Sehemu ya viongozi wa Jumuiya na wanajumuiya

Wote wametulia wakifuatilia kinachoendelea

Wanajumuiya

Wanajumuiya pamoja na baadhi ya viongozi


Mkurugenzi Mtendaji wa Azania Bank Limited,Bw Charles Singili akiongea na kunadi bidhaa mpya ya Diaspora Banking ambayo benki hiyo imeanzisha
 

Mwanajumuiya akiomba ufafanuzi wa maswala kadhaa yanayowasibu

Wanajumuiya wakifurahia jambo

Swali likitoka kwa mwanajumuiya

Wanajumuiya wakisikilia kwa makini kinachoendelea

Mwanajumuiya akiuliza swali

Mkurugenzi Mtendaji wa Azania Bank Limited, Bw. Charles Singili akifafanua mambo kadhaa kuhusu Diaspora Banking

Mkurugenzi Mtendaji wa Azania Bank Limited, Bw. Charles Singili akiendelea kutoa ufafanuzi

Mkurugenzi Mtendaji wa Azania Bank Limited, Bw. Charles Singili akieleza faida za Diaspora Banking
 

Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC), Julieth Kairuki akiongea
 

Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC),Julieth Kairuki akifafanua jambo

Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV BW Iddi Sandaly akiongea

Rais Kikwete akifafanua jambo. Kushoto ni Mama Salma Kikwete na kulia ni Balozi Mulamula

Mtangazaji wa Clouds FM kipindi cha Power Breakfast Gerald Hand akirekebisha mitambo

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernad Membe akifafanua jambo

Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV BW Iddi Sandaly akimtambulisha Bi Rose Jairo, Kaimu Mkurugenzi wa Diaspora katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa


Mawaziri na wabunge waliohudhuria

Sehemu ya waliohudhuria
 

Rais Kikwete akihutubia wanajumuiya wa DMV

Rais Kikwete akiendelea kuhutubia

No comments:

Post a Comment