Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Friday 30 October 2015

MPIRA WA MAGONGO

KOCHA VARENTINA QUARANTA AKIWA KATIKA MOJA YA MICHEZO YA TANZANIA HUKO AFRIKA KUSINI

Kocha wa timu ya mpira wa magongo Varentina Quaranta amesema anaamini timu za Tanzania zitafanya vizuri katika michezo iliyobaki katika mashindano ya kuwania kufuzu michuano ya Olympic ya mwaka 2016 ambayo yatafanyika mjini Rio de Janeiro, nchini Brazil, licha ya kufanya vibaya katika michezo yao ya awali.

Varentina Quaranta  ambaye Yuko nchini Afrika Kusini na Timu za Tanzania za Wanawake na wanaume,zinazoshiriki mashindano hayo,amesema kufanya vibaya kwa timu za Tanzania kunatokana na kiwango kidogo kwa timu zetu.

Varentina Quaranta amewapongeza wachezaji wa Tanzania kwa kupambana katika mashindano hayo,lakini kwanza akianza kwa kuelezea matokeo ya michezo kwa timu za Tanzania.




No comments:

Post a Comment