Na Daniel Mbega
Hii
ndiyo orodha ya wabunge wote wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania waliotangazwa
baada ya matokeo ya uchaguzi uliofanyika Oktoba 25, 2015. Orodha hii ni katika
mpangilio wa mikoa:
Arusha
Arumeru
Magharibi: Gibson Ole Mesiyeki (Chadema)
Arumeru
Mashariki: Joshua Nassari (Chadema)
Karatu:
Wille Qulwi Qambalo (Chadema)
Longido:
Onesmo Ole Nangole (Chadema)
Monduli:
Kalanga Julius Laizer (Chadema)
Ngorongoro:
William Tate ole Nasha (CCM)
*
Jimbo la Arusha Mjini uchaguzi umeahirishwa kufuatia kifo cha mgombea wa
ACT-Wazalendo Estomih Malla.
Dar es Salaam
Ukonga:
Waitara Mwita Mwikwabe (Chadema)
Ilala:
Mussa Azzan Zungu (CCM)
Segerea:
Bonna Mosse Kaluwa (CCM)
Temeke:
Abdallah Mtolea (CUF)
Kigamboni:
Faustine Ndugulile (CCM)
Mbagala: Issa Ally Mangungu (CCM)
Kawe:
Halima Mdee (Chadema)
Ubungo:
Saed Kubenea (Chadema)
Kibamba:
John John Mnyika (Chadema)
Kinondoni:
Maulid Mtulia (CUF)
Dodoma
Bahi:
Omar Ahmed Badwel (CCM)
Chemba:
Juma Nkamia (CCM)
Chilonwa: Joel Mwaka (CCM)
Dodoma
Mjini: Antony Peter Mavunde (CCM)
Kibakwe:
George Simbachawene (CCM)
Kondoa
Mjini: Sanda Edwin (CCM)
Kondoa
Vijijini: Dk. Ashatu Kijaji (CCM)
Kongwa:
Job Ndugai (CCM)
Mpwapwa:
George Malima Lubeleje (CCM)
Mtera:
Livingstone Lusinde (CCM)
Geita
Geita
Mjini: Costantine John Kanyansu (CCM)
Geita
Vijijini: Joseph Lwinza Kasheku ‘Msukuma’ (CCM)
Busanda:
Lolensia Bukwimba (CCM)
Mbogwe:
Augustino Masele (CCM)
Bukombe:
Doitto Mashaka Biteko (CCM)
Chato:
Dk. Medard Matogolo Kalemani (CCM)
Iringa
Iringa
Mjini: Peter Msigwa (Chadema)
Isimani:
William Lukuvi (CCM)
Kalenga:
Godfrey Mgimwa (CCM)
Kilolo:
Venance Mwamoto (CCM)
Mafinga
Mjini: Cosato Chumi (CCM)
Mufindi
Kaskazini: Mahmoud Mgimwa (CCM)
Mufindi
Kusini: Mendrad Kigola (CCM)
Kagera
Biharamulo:
Oscar Rwegasira Mukasa (CCM)
Bukoba
Mjini: Wilfred Lwakatare (Chadema)
Bukoba
Vijijini: Rweikiza Jasson (CCM)
Karagwe:
Innocent Luugha Bashungwa (CCM)
Kyerwa:
Innocent Sebba Balikwate (CCM)
Muleba
Kaskazini: Charles Mwijage (Chadema)
Muleba
Kusini: Prof. Anna Tibaijuka (CCM)
Ngara:
Alex Gashaza (CCM)
Nkenge:
Diodorius Kamala (CCM)
Katavi
Katavi:
Issack Kamwele (CCM)
Kavuu:
Dk. Pudenciana Kikwembe (CCM)
Mpanda
Mjini: Sebastian Kapufi (CCM)
Mpanda
Vijijini: Moshi Selemani Kakoso (CCM)
Nsimbo:
Richard Mbogo (CCM)
Kigoma
Buyungu:
Bilago Samson (Chadema)
Kasulu
Mjini: Daniel Nsazugwako (CCM)
Kasulu
Vijijini: Augustine (CCM)
Kigoma
Kaskazini: Peter Serukamba (CCM)
Kigoma
Kusini/Uvinza: Hasna Mwilima (CCM)
Kigoma
Mjini: Zitto Z. Kabwe (ACT-Wazalendo)
Manyovu:
Albert Ntabaliba (CCM)
Muhambwe:
Eng. Atashasta Justus Nditiye (CCM)
Kilimanjaro
Hai:
Freeman Mbowe (Chadema)
Siha:
Dk. Godwin Mollel (Chadema)
Moshi
Mjini: Jaffary Michael (Chadema)
Mwanga:
Prof. Jumanne Maghembe (CCM)
Same
Mashiriki: Nagenjwa Kaboyoka (Chadema)
Same
Magharibi: Mathayo David (CCM)
Moshi
Vijijini: Anthony Calist Komu (Chadema)
Vunjo:
James Mbatia (NCCR)
Rombo:
Joseph Selasini (Chadema)
Lindi
Kilwa
Kusini: Hasnain Gulamabas Dewji
(CCM)
Kilwa
Kaskazini: Ngombare Edgar (CUF)
Lindi
Mjini: Hassan Suleiman Kaunje (CCM)
Liwale:
Faith Mohamed Mitambo (CCM)
Mtama:
Nape Nnauye (CCM)
Mchinga:
Hassan Bobali (CUF)
Nachingwea:
Hassan Elias Masala (CCM)
Ruangwa: Majaliwa Kassim
Majaliwa
Manyara
Babati
Mjini: Pauline Gekuli (Chadema)
Babati
Vijijini: Jitu Vrajilal Soni (CCM)
Hanang’:
Mary Nagu (CCM)
Kiteto:
Emmanuel Papiani (CCM)
Mbulu
Mjini: Zacharia Paulo Issaay
(CCM)
Mbulu
Vijijini: Flatei Massay (CCM)
Simanjiro:
James Kinyasi Ole Millya (Chadema)
Mara
Bunda
Mjini: Esther Bulaya (Chadema)
Bunda
Vijijini: Boniface Mwita Getere
(CCM)
Butiama:
Nimrod Mkono (CCM)
Musoma
Mjini: Vedastus Mathayo
Manyinyi (CCM)
Musoma
Vijijini: Prof. Sospeter Muhongo (CCM)
Mwibara:
Kangi Lugola (CCM)
Rorya:
Lameck Airo (CCM)
Serengeti:
Mwalimu Marwa Ryoba (Chadema)
Tarime
Vijijini: John Heche (Chadema)
Tarime
Mjini: Ester Matiko (Chadema)
Mbeya
Busokelo:
Atupele Mwakibete (CCM)
Ileje:
Janeth Mwamben (CCM)
Kyela:
Harrison Mwakyembe (CCM)
Lupa:
Victor Mwambalaswa (CCM)
Mbarali:
Haroon Mullah Pirmohamed (CCM)
Mbeya
Mjini: Joseph Mbilinyi (Chadema)
Mbeya
Vijijini: Oran M. Njeza (CCM)
Mbozi:
Paschal Haonga (Chadema)
Momba:
David Silinde (Chadema)
Rungwe:
Sauli Henry Amon (CCM)
Songwe:
Philipo Mulugo (CCM)
Tunduma:
Mwakajoka Frank (Chadema)
Vwawa:
Hasunga Ngailanga (CCM)
Morogoro
Gairo:
Ahmed Shabiby (CCM)
Kilombero:
Peter Lijualikali (Chadema)
Kilosa:
Baraka Bawazir (CCM)
Mikumi:
Joseph Haule (Chadema)
Mlimba:
Suzan Kiwanga (Chadema)
Morogoro
Kusini: Prosper Joseph Mbena (CCM)
Morogoro
Kusini Mashariki: Omar Tibweta Mgumba (CCM)
Morogoro
Mjini: Abood Mohamed Abdul Aziz (CCM)
Mvomero:
Ahmed Sadiq Murad (CCM)
Ulanga
Magharibi/ Malinyi: Dk. Hadji Mponda (CCM)
Ulanga
Mashariki: Uchaguzi wa mbunge umeahirishwa kutokana na kifo cha mgombea wa CCM-
Celina Kombani
Mwanza
Buchosa:
Dk. Charles Tizeba (CCM)
Ilemela:
Angelina Mabula (CCM)
Kwimba:
Mansoor Hirani (CCM)
Magu:
Kiswaga Boniventura (CCM)
Misungwi:
Charles Kitwanga (CCM)
Nyamagana:
Stanslaus Mabula (CCM)
Sengerema:
William Ngeleja (CCM)
Sumve: Richard Mganga
Ndassa (CCM)
Ukerewe: Joseph
Mkundi (Chadema)
Mtwara
Mtwara
Mjini: Maftah Abdallah Nachuma (CUF)
Mtwara
Vijijini: Hawa Ghasia (CCM)
Nanyamba:
Abdalah Chikota (CCM) amepita bila kupingwa
Nanyumbu: William Dua
Mkurua (CCM)
Ndanda:
Cecil Mwambe (Chadema)
Newala
Mjini: Kapteni George Mkuchika (CCM)
Newala
Vijijini: Rashid Ajali Akbar (CCM)
Tandahimba:
Katani Ahmad Katani (CUF)
Masasi:
Uchaguzi Umesogezwa Mbele kutokana na Kifo cha Emanuel Makaidi wa NLD
Lulindi:
Uchaguzi umeahirishwa mpaka tume itakapopangwa sababu jina la mgombea wa CUF
lilikosewa
Njombe
Njombe
Kaskazini: Joram Hongoli (CCM)
Njombe
Kusini: Edward Mwalongo (CCM)
Makambako:
Deo Kasenyenda Sanga (CCM)
Wanging'ombe:
Gerson Hosea Lwenge (CCM)
Makete:
Dk. Norman Adamson Sigalla (CCM)
Ludewa:
Uchaguzi Uliahirishwa baada ya Mbunge Deo Filikunjombe Kufariki.
Pwani
Chalinze:
Ridhwan Kikwete (CCM)
Bagamoyo:
Shukuru Kawambwa (CCM)
Kibaha
Mjini: Sylvester Francis Koka (CCM
Kibaha Vijijini: Hamoud
Abuu Jumaa (CCM)
Kisarawe:
Suleiman Jafo (CCM)
Mafia: Mbaraka K. Dau
(CCM)
Mkuranga: Abdallah H.
Ulega (CCCM)
Kibiti: Ally Seif
Ungando (CCM)
Rufiji:
Dk. Seif Rashid (CCM)
Ruvuma
Songea
Mjini: Leonidas Tutubert Gama (CCM)
Nyasa: Stella Manyanya (CCM)
Tunduru
Kaskazini: Ramo Matala Makani (CCM)
Tunduru
Kusini: Daimu Iddi Mpakate (CCM)
Peramiho:
Jenista Mhagama (CCM)
Madaba: Joseph Kisito
Mhagama (CCM)
Namtumbo: Edwin Amandus Ngonyani (CCM)
Mbinga
Mjini: Sixtus Mapunda (CCM)
Mbinga
Vijijini: Martin Msuha (CCM)
Rukwa
Sumbawanga
Mjini: Aeshi Hilaly (CCM)
Nkansi
Kaskazini: Ally Keisy (CCM)
Nkansi
Kusini: Deuderit Mipata (CCM)
Kwela:
Ignas Malocha (CCM)
Kalambo:
Kandege Sinkamba (CCM)
Singida
Singida
Mjini: Kingu Emmanuel (CCM)
Singida
Kaskazini: Lazaro Nyalandu (CCM)
Iramba
Mashariki: Joseph Allan Kiula (CCM)
Iramba
Magharibi: Mwigulu Nchemba (CCM)
Manyoni
Magharibi: Yahya Omari Masare (CCM)
Manyoni
Mashariki: Daniel Edward Mtuka (CCM)
Singida
Mashariki: Tundu Lissu (Chadema)
Singida
Magharibi: Elibariki Emmanuel Kingu (CCM)
Simuyu
Bariadi:
Andrew Chenge (CCM)
Busega:
Raphael Chegeni (CCM)
Itilima:
Njalu Silanga (CCM)
Kisesa:
Luhanga Mpina (CCM)
Maswa Mashariki:
Stanslaus Nyongo (CCM)
Maswa Magharibi:
Mashimba Ndaki (CCM)
Meatu:
Salum Khamis Salumu (CCM)
Shinyanga
Kahama
Mjini: Jumanne Kishimba (CCM)
Kishapu: Suleiman Nchambi
(CCM)
Msalala:
Ezekiel Maige (CCM)
Shinyanga
Mjini: Steven Masele (CCM)
Solwa:
Ahmed Ally Salum (CCM)
Ushetu: Elias Kwandikwa
(CCM)
Tabora
Bukene:
Suleiman Zedi (CCM)
Igalula:
Ntimizi Rashidi Mussa (CCM)
Igunga: Dk. Dalaly Peter Kafumu (CCM)
Kaliua: Magdalena Sakaya (CUF)
Manonga: Seif Hamis Said
Gulamali (CCM)
Nzega
Mjini: Hussein Bashe (CCM)
Nzega
Vijijini: Hamis Kigwangallah (CCM)
Sikonge: George Kakunda (CCM)
Tabora
Mjini: Emmanuel Mwakasaka (CCM)
Ulyankulu:
John Peter Kadutu (CCM)
Urambo:
Margareth Sitta (CCM)
Uyui: Maige Athumani
Almas (CCM)
Tanga
Tanga
Mjini: Mussa Mbarouk (CUF)
Bumbuli:
January Makamba (CCM)
Mlalo:
Rashid Abdakkag Shangazi (CCM)
Pangani:
Jumaa Hamidu Aweso (CCM)
Kilindi:
Omari Mohamed Kigua (CCM)
Mkinga:
Dustan Kitandula (CCM)
Handeni
Vijijini: Mboni Mohamed Mhita (CCM)
Muheza:
Adadi Mohamed Rajabu (CCM)
Korogwe
Mjini: Mary Pius Chatanda (CCM)
Korogwe
Vijijini: Stephen Hillary Ngonyani (CCM)
Lushoto:
Umeahirishwa
Handeni
Mjini: Umeahirishwa
Pemba
Konde:
Khatib Said Haji (CUF)
Micheweni:
Haji Khatib Kai (CUF)
Tumbe:
Rashid Ali Abdallah (CUF)
Wingwi:
Kombo Juma Hamad (CUF)
Gando:
Othman Omar Haji (CUF)
Kojani:
Hamad Salim Maalim (CUF)
Mtambwe:
Khalifa Mohamed Issa (CUF)
Mgogoni:
Juma Kombo Hamad (CUF)
Wete:
Dk. Suleiman Ali Yusuf (CUF)
Wete
Mjini: Mbaruk Salim Ali (CUF)
Chake
Chake: Yusuph Makame (CUF)
Chonga:
Mohamed Juma Khatib (CUF)
Ole:
Juma Hamad Omar (CUF)
Wawi:
Mohamed Juma Ngwali (CUF)
Ziwani:
Nassor Suleiman Omar (CUF)
Chambani:
Yussuf Salim Hussein (CUF)
Kiwani:
Rashid Abdallah Rashid (CUF)
Mkoani:
Tahir Awesu (CUF)
Mtambile:
Masoud Abdalla Salim (CUF)
Unguja
Chaani: Khamis Yahya
Machano (CCM)
Kijini: Makame Mashaka
Foum (CCM)
Mkwajuni: Khamis Ali
Vuai (CCM)
Nungwi: Mustafa Makame
Hamadi (CCM)
Tumbatu: Juma Othman
Hija (CCM)
Bumbwini: Mbarouk Juma
Khatib (CCM)
Donge: Sadifa Juma
Khamis (CCM)
Kiwengwa: Khamis Mtumwa
Ali (CCM)
Mahonda: Bahati Ali
Abeid (CCM)
Chwaka: Bhagwanji
Meisuria (CCM)
Tunguu: Khalifa Salum
Suleiman (CCM)
Uzini: Salum Mwinyi
Rehani (CCM)
Makunduchi: Haji Ameir
Haji (CCM)
Paje: Jaffar Sanya Jussa
(CCM)
Dimani: Hafidh Ali Tahir
(CCM)
Fuoni: Abass Ali Hassan
(CCM)
Kiembesamaki: Ibrahim
Hassanali Mohamed (CCM)
Kijitoupele: Shamsi Vuai
Nahodha (CCM)
Mwanakwerekwe: Ahmada
Yahya Abdulwakil (CCM)
Bububu: Mwantakaje Haji
Juma (CCM)
Mfenesini: Kanali Masoud
Ali Khamis (CCM)
Welezo: Saada Mkuya
Salum (CCM)
Mwera: Makame Kassim
Makame (CCM)
Amani: Mussa Hassan
Mussa (CCM)
Chumbuni: Ussi Salum
Pondeza (CCM)
Magomeni: Jamal Kassim
Ali (CCM)
Mpendae: Salim Hassan
Turkey (CCM)
Shaurimoyo: Matar Ali
Salum (CCM)
Jang’ombe: Ali Hassan
Omar (CCM)
Kikwajuni: Hamad Yussuf
Masauni (CCM)
Kwahani: Dk. Hussein Ali
Mwinyi (CCM)
Malindi: Dk. Abdulla
Juma Abdalla (CCM)
CREDIT: UWAZI MIZENGWE
No comments:
Post a Comment