Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Friday 30 October 2015

NEC YATOA TAMKO KUHUSU UCHAGUZI WA RAIS NA WABUNGE WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji mstaafu Damian Lubuva (kulia) akitangaza matokeo ya Urais 2015 kwa baadhi ya majimbo ambayo yamekamilisha matokeo hayo katika ukumbi wa Mwalimu. J.K Nyerere jana jijini Dar es salaam. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa Tume hiyo Jaji Mkuu Mstaafu Hamid Mahmoud Hamid.

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji mstaafu Damian Lubuva (katikati) akitangaza matokeo ya Urais 2015 kwa baadhi ya majimbo ambayo yamekamilisha matokeo hayo jana katika ukumbi wa Mwalimu. J.K Nyerere jijini Dar es salaam. Kulia ni Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume hiyo Ramadhani Kailima na kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa Tume hiyo Jaji Mkuu Mstaafu Hamid Mahmoud Hamid. 
Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji Mkuu Mstaafu Hamid Mahmoud Hamid (kulia) akitangaza matokeo ya Urais 2015 kwa baadhi ya majimbo ambayo yamekamilisha matokeo hayo katika ukumbi wa Mwl. J.K Nyerere jana jijini Dar es salaam. Wa kwanza kushoto ni Kamishna wa Tume hiyo Prof. Amon Chaligha na wa pili kushoto ni Kamishna Mchanga Mjaka. 

Baadhi ya waandishi wa habari wakifuatilia matokeo ya Urais 2015 kwa baadhi ya majimbo ambayo yanayoendelea kutolewa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) katika ukumbi wa Mwalimu. J.K Nyerere jana jijini Dar es salaam.
(Picha na Eleuteri Mangi-MAELEZO)



No comments:

Post a Comment