Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Saturday 24 October 2015

MAHAKAMA YATUPILIA MBALI SHAURI LA MITA 200

Wakili wa upande wa mlalamikaji, Peter Kibatala (wa kwanza kulia) akiketi kusikiliza shauri hilo kutoka kwa majaji (hawapo pichani).

Mawakili wa serikali wakiwa mahakamani hapo kufuatilia kesi hiyo.
Wakili wa serikali Dk.Tulia Ackson (wa kwanza kushoto) akifurahia jambo.
Baadhi ya mawakili na wanahabari wakiwa mahakamani hapo kabla ya kuanza kusikilizwa kwa shauri hilo.
Wakili wa Serikali Dk.Tulia Ackson akifanya mahojiano na wanahabari.
Mahakama Kuu Dar leo imetupilia mbali shauri la tafsiri ya sheria ya mpigakura kukaa au kutokaa umbali wa mitaa 200 kutoka eneo la kupiga kura.
Kwa mujibu wa majaji waliotoa maamuzi hayo wamesema kuwa, kwa kuwa mikutano ilishakatazwa kuwepo siku ya uchaguzi, hivyo hakuna mkutano, mkusanyiko au vikundi vyovyote vitakavyoruhisiwa siku hiyo na kufanya hivyo ni kuvunja sheria.
Pia wameeleza kuwa siku ya uchaguzi mtu yeyote atakayevaa sare ya chama chochote naye atakuwa amevunja sheria.Kwa upande wa wakili wa utetezi,  Peter Kibatala amesema ameyapokea maamuzi hayo lakini atakata rufaa juu ya shauri hilo kwa manufaa ya chaguzi nyingine zijazo.
CREDIT: GPL/DENIS MTIMA

No comments:

Post a Comment