Kaimu
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Festo Kiswaga (Mkuu wa Wilaya ya Mvomero) akiongea na wafanyakazi wa Mamlaka ya Hali ya
Hewa nchini (TMA) katika ufunguzi wa Baraza la wafanyakazi wa TMA linalofanyika
mkoani Morogoro katika hoteli ya Oasis tarehe 31 Machi hadi 01 Aprili 2015.
Mkurugenzi Mkuu TMA Dkt Agnes Kijazi akimkaribisha mgeni
rasmi ili kufungua Baraza la wafanyakazi wa TMA linalofanyika mkoani Morogoro
katika hoteli ya Oasis tarehe 31 Machi hadi 01 Aprili 2015.
Wajumbe wa Baraza la wafanyakazi wa TMA linalofanyika mkoani
Morogoro katika hoteli ya Oasis tarehe 31 Machi hadi 01 Aprili 2015 katika
picha ya pamoja na mgeni rasmi, wa kwanza kulia ni katibu
wa baraza bw. Chuki Sangalugembe.
Wajumbe wa baraza la wafanyakazi wa TMA wakiwakumbuka baadhi ya wafanyakazi waliofariki katika kipindi cha mwaka mmoja uliopita.
Baadhi
ya wajumbe wa Baraza la wafanyakazi wa TMA linalofanyika mkoani Morogoro katika
hoteli ya Oasis tarehe 31 Machi hadi 01 Aprili 2015 wakimsikiliza mgeni rasmi
mhe. kaimu mkuu wa mkoa
No comments:
Post a Comment