Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Monday 20 April 2015

VIJANA NCHINI WATAKIWA KUJIUNGA KATIKA VIKUNDI ILI KUJIKOMBOA KIUCHUMI

Displaying pics 2.jpg
Mkuu wa Mkoa wa Singida Dr. Parseko Kone  katikati akizungumza na ujumbe kutoka Wizara ya Habari, Vijana,Utamaduni na Michezo ulipotembelea Mkoa huo kwa lengo la kutoa elimu kwa  vijana ya jinsi ya kujikomboa kiuchumi .Wa kwanza kutoka kulia ni Mkurugenzi Msaidizi Kitengo cha Uhamasishaji na Uwezeshaji Kiuchumi Idara ya Maendeleo ya Vijana Dr. Steven Kissui .(Picha na Benjamin Sawe WHVUM).


Displaying pics 1.JPG
Maafisa Kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Idara ya Maendeleo ya Vijana waliosimama wakifundisha jinsi ya kuandika mchanganuo wa Mradi.Mafunzo hayo yalifanyika katika Halmashauri ya Manispaa ya Mkoa wa Singida hivi karibuni. (Picha na Benjamin Sawe WHVUM).


No comments:

Post a Comment