Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Sunday 19 April 2015

BADO KIDOGO ARSENAL IBAKI NA KOMBE LA FA, YAILIMA READING 2-1

Wachezaji wa Arsenal wakisherehekea bao walilofunga dhidi ya Reading
Reading ilikuwa ikicheza kufa na kupona ili kushiriki katika mechi ya fanaili ya Kombe la FA katika Uwanja wa Wembley, ambayo ni kwa mujibu wa mkufunzi wa Arsenal Arsene Wenger.

Reading ilitoka nyuma na kusawazisha na kufanya mechi hiyo kuchezwa katika muda wa ziada.
Vilevile walishindwa kutumia nafasi muhimu kuilaza Arsenal.
Makosa ya kipa Adam Federic yaliipatia Arsenal ushindi huku mechi hiyo ikikamilika 2-1 kupitia mabao yaliofungwa na mchezaji nyota wa Arsenal Alexei Sanchez.
CREDIT: BBC

No comments:

Post a Comment