Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Sunday 3 August 2014

USAIN BOLT AISAIDIA JAMAICA KUNYAKUA DHAHABU GLASGOW

Usain Bolt
Bingwa wa michezo ya Olimpiki katika mbio za mita 100 Usain Bolt ameiongoza Jamaica kushinda medali ya dhahabu katika Michezo ya Jumuiya ya Madola nchini Scotland.
Bolt alikimbia mita mia moja za mwisho baada ya kupokezwa kijiti ambapo Jamaica ilishinda kwa urahisi na kuweka rekodi mpya katika michezo hiyo ya sekunde 37.
Ilikuwa medali ya kwanza ya mwanariadha huyo.

Mbio hizo za kupokezana vijiti ndio zilizokuwa za mwisho na zenye msisimuko mkubwa katika mpango.
BBC

No comments:

Post a Comment