Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Monday 4 August 2014

ROSE MUHANDO AZINDUA 'PINDO LA YESU'

Rose Mhando akicheka wakati wa uzinduzi wa albamu yake.  Nyuma ni  waimbaji wake.
Mchungaji Maboya akitoa neno katika uzinduzi huo.
Watu waliofurika katika tukio hilo.
Waziri mkuu mstaafu Fredrick Sumaye (kushoto) akizindua albamu hiyo, pembeni  ni Promota wa Muziki wa Injili, Alex Msama.
Mwimbaji Sarah K (kushoto) wa Kenya akiwa na Upendo Nkone.
Emmanuel Mbasha (wa pili kushoto) Upendo Kilaheni pamoja na wadau wengine wakiwa katika pozi.
Waziri mkuu mstaafu Fredrick Sumaye akiwa ameshika album ya ‘Pindo la Yesu’.
Waumini na mashabiki wa Rose Mhando wakipiga makofi.
Sumaye akiwa na Alex Msama (katikati)  na Rose Muhando.
Waziri mkuu mstaafu Fredrick Sumaye na mkewe wakifuatilia uzinduzi huo.
Mwandishi  wa Global Publishers, Gabriel Ng'osha, akiwa na Sarah K.
MWANAMUZIKI, Rose Mhando jana amefanya kweli kwa kuwapa mashabiki wa nyimbo za Injili utamu wa Yesu alipozindua albamu ya Pindo la Yesu  katika ukumbi wa Diamond Jubilee  ambapo mgeni rasmi alikuwa Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye na wasanii mbalimbali akiwemo Sarah K kutoka Kenya,  Ephraim kutoka Malawi,  na wale wa hapa nchini wakiwemo Upendo Nkone, Emmanuel Mbasha, Upendo Kilaeni na wengine.
Katika hafla hiyo Sumaye alitoa ujumbe wa kuitaka Tume ya Uchaguzi ya Taifa na Watanzania kuwa makini ili kuwepo uchaguzi wa haki katika uchaguzi mkuu mwaka 2015.
Credit: Gabriel Ng’osha/GPL

No comments:

Post a Comment