Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Saturday 2 August 2014

CCM YASHTUKIA USANII WA UKAWA


Chama Cha Mapinduzi kimewastukia Ukawa na kusema wanachofanya ni Usanii usiokuwa na tija mbele ya mambo ya msingi kwa Taifa la Tanzania, akizungumza na mwaandishi wa habari hizi Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi wa CCM 
Nape Nnauye alisema hoja zote zinazotolewa na UKAWA zina majibu kwenye Sheria na 
Kanuni zinazoendesha Bunge la Katiba, CCM pia imewashukia  UKAWA kwa kuwatukana na kuwadhalilisha 
viongozi wa dini ambao wamekuwa wakisisitiza UKAWA kurudi Bungeni.
CCM yawaomba wabunge wa bunge la Katiba wanaotaka Katiba 
mpya waendelee na bunge  litakapoitishwa 
tarehe 5/8/2014.
Kwa taarifa za ndani ya kikao hicho ,kikao kimeisha kwa 
kukubalina kutokubaliana ,pande mbili hizi zimekutana zaidi ya mara nne pamoja 
na kikao cha leo kilichoanza tangia asubuhi saa nne mpaka jioni lakini hakuna 
hata pande mmoja uliokubalina na mwenzake.
Kwa mujibu wa taarifa za ndani Msajili wa vyama vya 
Siasa  nchini anatarajiwa kuzungumza na 
waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam.

CREDIT SOURCE: FULLSHANGWE

No comments:

Post a Comment