Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Wednesday 24 December 2014

MSHINDI WA 'MTOKO WA MBUGANI' WA SERENGETI ASAINI KWENDA KUTEMBELEA WANYAMA

Displaying 1.JPG
Mshindi wa kwanza wa shindano la Tutoke na Serengeti, lijulikanalo kama "MTOKO WA MBUGANI" Bw. Hassan Mfaume, akisaini mkataba wake na kampuni ya bia ya Serengeti.Katikati  ni meneja wa bia chapa ya Serengeti Bw.Rugambo Rodney na kushoto ni Meneja wa Serengeti kanda ya Dar es Salaam,Malalia Mmassy. Mkutano  ulifanyika makao makuu ya kampuni hiyo-Chan'ombe jijini Dar es Salaam.

Displaying 2.JPG
Meneja wa Serengeti kanda ya Dar es Salaam,Malalia Mmassy akisaini mkataba wa mshindi wa shindano la Tutoke na Serengeti, ambapo mshindi huyo anatarajia kusafiri hivi karibuni, Mshindi wa kwanza wa shindano la Tutoke na Serengeti, la kwenda kutalii kwenye mbuga za wanyama , Bw.Hassan Mfaume, Meneja wa bia chapa ya Serengeti,Rugambo Rodney.
Displaying 4.JPG
Meneja wa bia chapa ya Serengeti,Rugambo Rodney akimkabidhi mkataba Mshindi wa kwanza wa shindano la Tutoke na Serengeti, la kwenda mbuga za wanyama , Hassan Mfaume,katikati ni meneja wa Serengeti kanda ya Dar es Salaam,Malalia Mmassy. Mkutano huo ulifanyika makao makuu ya kampuni hiyo jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment