Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Wednesday 31 December 2014

SERIKALI YATAKIWA KUSITISHA UPOROMOKAJI WA BEI YA FILAMU NCHINI

Displaying VI.BMP
Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Olegabriel aliyesimama akifungua Mkutano  Baadhi ya wasambazaji wa Filamu nchini  (hawapo pichani)kuhusu kuporomoka kwa bei ya filamu, wa pili kutoka  kushoto ni Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu nchini. Bi. Joyce Fissoo.Mkutano huo ulifanyika  jana jijini Dar es Salaam.

Displaying V2.BMP
Baadhi ya wasambazaji wa Filamu nchini wakimsikiliza Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Olegabriel (hayupo pichani) akifungua Mkutano wa wasambazaji wa Filamu nchini kuhusu kuporomoka kwa bei ya filamu. Mkutano huo ulifanyika jijini Dar es Salaam.
Displaying V3.BMP
Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu nchini Bi. Joyce Fissoo aliyasimama akifafanua jambo kwa wadau wa usambazaji wa Filamu nchini wakati wa Mkutano wa Baina yao na  Serikali uliofanyika jijini Dar es Salaam,wakwanza kulia ni Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Olegabriel na wa kwanza kushoto ni Kaimu Mwanasheria wa Wizara Bw. Patrick Kipangula.

Picha na Benjamin Sawe - MAELEZO

No comments:

Post a Comment