Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Wednesday 17 December 2014

ASKOFU MWANAMKE ACHAGULIWA UINGEREZA

Mchungaji Libby lane amechaguliwa mwanamke wa kwanza kuwa askofu nchini Uingereza
Kanisa la Uingereza limemchagua askofu wa kwanza mwanamke.
Mchungaji Libby Lane atakuwa askofu wa Stockport mnamo mwezi Januari na kumaliza ukiritimba wa wanaume kuwa maaskofu katika kanisa hilo.

Amesema kuwa amefurahishwa na hatua hiyo.
Kanisa la Uingereza liliwachagua wanawake mara ya kwanza kama makuhani mnamo mwaka 1994.
Wanawake tayari wameruhusiwa kuwa maaskofu katika maeneo mengine ya jamii ya kianglikana ,ikiwemo Marekani na kusini mwa Afrika.
CREDIT: BBC

No comments:

Post a Comment