Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Monday 22 December 2014

WANAUME 28 WASHTAKIWA KWA UASHERATI


Watu 28 wamefikishwa mahakamani mjini Cairo, Misri kutokana na mashtaka ya uasherati katika kile kinachoonekana kama ishara za kampeni dhidi ya ushoga.

Baadhi ya washtakiwa walikuwa wakilia baada ya kufikishwa mahakamani wakiwa wamefungwa pingu.
Mmoja alilalama kwamba yeye na wafungwa wenzake walipigwa na polisi.
Wanaume hao walikamatwa mapema mwezi huu katika kidimbwi cha kuoga kwa jina hammam mjini Cairo.
Wanahabari wa chombo kimoja cha habari walichukua filamu ya uvamizi huo wa polisi.
Miezi miwili iliopita,watu wanane walifungwa miaka 3 jela baada ya kunaswa katika kanda ya video ambayo wakuu wa mashtaka wanasema ilionyesha wakifanya harusi ya watu wa jinsia moja mjini Cairo.
CREDIT: BBC

No comments:

Post a Comment