Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Saturday 27 December 2014

PAMOJA NA MVUA KUBWA, TAMASHA LA KRISMAS LAACHA HISTORIA MJINI IRINGA

Kundi zima la wanamuziki hao limekonga nyoyo za mashabiki mjini Iringa na baada ya kukamilisha kazi hiyo leo linatarajiwa kuondoka kesho kuelekea Songea mkoani Ruvuma ambapo tamasha kama hilo litafanyika Desemba 29 kwenye uwanja wa majimaji.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-IRINGA)2Mkurugenzi wa kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama  akicheza  wakati mwimbaji Faraja Ntaboba akiimba kushoto ni mwimbaji Upendo Kilahiro akishiriki kucheza.4Mwimbaji Edson Mwasabwite akiimba mbele ya mashabiki wake katika tamasha la Krismas kwenye uwanja wa Samora mjini Iringa.5Mwimbaji Edson Mwasabwite akiimba mbele ya mashabiki wake katika tamasha la Krismas kwenye uwanja wa Samora mjini Iringa.6Tumaini Njole na kundi lake wakitumbuiza kwenye uwanja wa Samora mjini Iringa.7Tumaini Njole akitumbuiza kwenye uwanja wa Samora mjini Iringa.8Baadhi ya mashabiki wakicheza muziki wakati wa tamasha hilo.9Mwibaji Upendo Kilahiro akiimba jukwaani.10Mwibaji Upendo Kilahiro akiimba jukwaani.11Emmanuel Mgogo akifanya vitu vyake.12Martha Mwaipaja akiimba kulia ni mwibaji Bonny Mwaitege.13Mwibaji Joshua Mlelwa akionyesha uwezo wake jukwaani.14Alex Msama  kushoto akiwa na John Melele 15Waimbaji Ambwene Mwasongwe na Solomon Mukubwa wakiongoza waimbaji wenzao jukwaani wakati alipokuwa wakiimba kwenye Uwanja wa Samora mjini Iringa.16Upendo Nkone akiimba mbele ya mashabiki wake
.17
Upendo Nkone kulia na Tumaini Njole wakicheza jukwaani.
19Mwimbaji Bonny Mwaitege akifanya vitu vyake jukwaani

No comments:

Post a Comment