Jana kapita akakuta wanatengeneza daraja, leo akaamua kukanyaga mafuta. Matokeo yake ndiyo haya. Ashukuriwe Mungu hakuna aliyeumia. Hili lilitokea hivi karibuni mkoani Iringa katika njia ya Iringa-Idodi.
Twitter Buzz
....

...

IMETOSHA!

Featured post
KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO
Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment