Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Tuesday 25 March 2014

KATIBA INAYOATAMIWA NA WENGI ITATOTOA AMA LITAKUWA YAI VIZA?

Kwa mnyukano unaoendelea huko Dodoma, hivi tutegemee nini ikiwa kila mmoja anaatamia upande wake? Kweli tutapata Katiba mpya ama litakuwa yai viza? 
Inavyoonekana wengi wameweka kando uzalendo badala yake wanaangalia maslahi ya makundi yao huku mabilioni ya fedha za walipa kodi yakiendelea kuteketea kupitia posho zao nene.

Chanzo: ArtsFede

No comments:

Post a Comment