Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...
Saturday, 18 July 2015
MWANAHABARI ACHUKUA FOMU ZA UDIWANI KATA YA KIPAWA JIJINI DAR ES SALAAM
Kada wa Chama cha Mapinduzi Emmanuel Barnabas Maro anayewania kuteuliwa na chama chake kugombea nafasi ya udiwani katika kata ya Kipawa wilayani Ilala jijini Dar es Salaam akionyesha fomu alizokabidhiwa na Katibu kata ya Kipawa Amina Sebo.
No comments:
Post a Comment