Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Wednesday, 29 April 2015

BABA AUA MWANAYE MWANAFUNZI KWA KUMKUTA NA BARUA YA MAPENZI

 
IGP Ernest Mangu

NA WILLY SUMIA, SUMBAWANGA
GEOFFREY Robert Mwakatenya (15) anayesoma kidato cha pili katika shule ya sekondari Kilimani, Manispaa ya Sumbawanga mkoani Rukwa, amepigwa hadi kufa na baba yake mzazi kwa kosa la kukutwa na barua ya mapenzi aliyomuandikia mpenzi wake.

RUKWA WATAKA KURA YA 'HAPANA' KWA KATIBA PENDEKEZWA

Mchungaji wa KKT ushirika wa Sumbawanga mjini mkoani Rukwa, Calvin Kessy akichangia mada kuhusu katiba pendekezwa.

BAADHI ya Wananchi mkoani Rukwa, wamesema kuwa Katiba Pendekezwa imeepuuza maoni ya wananchi badala imeandaliwa kwa ajili ya kulinda maslahi ya watu wachache hivyo haipaswi kupigiwa kura ya NDIYO.

NDEGE BILA RUBANI ZATUMIWA KATIKA UOKOAJI NEPAL

Ndege isiyo na ribani au (Drone)
Ndege ndogo zisizokuwa na rubani zinazofahamika kama (Drones) zinatumiwa kusambaza misaada nchini Nepal.

BIASHARA YA BINADAMU INATISHA LIBYA

Wahamiaji wakiokolewa baharini
Uchunguzi wa BBC nchini Libya umebainisha mtandao mpana unaotumiwa na walanguzi wanaopata mamillioni ya dolla kupitia usafirishaji wa watu kinyume cha sheria.

UFALME WA SAUDIA WAFANYIWA MABADILIKO

Mfalme Salman wa Saudi Arabia
Katika mageuzi ambayo hayakutarajiwa ndani ya ufalme wa Saudi Arabia, mfalme Salman amemfuta kazi kakake wa kambo Prince Muqrin ambaye alikua mrithi wa ufalme huo na badala yake akamtaja mpwae Mohammed Bin Nayef ambaye kwa sasa anashikilia wizara muhimu ya mambo ya ndani.

MAWASILIANO YA KIJAMII YAKATWA BURUNDI

Mitandao ya kijamii


Utawala nchini Burundi umekata mawasiliano ya mitandao ya kijamii kupitia kwa simu ya mkononi mawasiliano ambayo wamekuwa wakitumia kupanga maandamano ya kumpinga rais Pierre Nkurunziza.

AKATAZWA SHULE KWA KUVAA SKETI NDEFU


Msichana mmoja Muislamu amekatazwa kuingia darasani huko shuleni kwao Ufaransa kwa sababu alikuwa amevalia sketi ndefu.

JESHI LA NIGERIA LAWAOKOA MABINTI 293

Jeshi nchini Nigeria
Jeshi la Nigeria limesema limewaokoa watoto wa kike mia mbili na tisini na tatu kutoka katika kambi ya Boko Haram iliyoko katika msitu wa Sambisa, kaskazini mashariki mwa nchi hiyo. 

KOREA KASKAZINI YAUA MAOFISA 15 SERIKALINI

Rasi wa korea Kaskazini Kim Jong Un
Shirika la kiinteligensia la Korea kusini linasema utawala wa Korea kaskazini, mwaka huu, umewaua watu waliokuwa na nyadhifa za juu wapatao 15, wanaodhaniwa kuwa wapinzani wa utawala wa kiongozi wa nchi hiyo Kim Jong-un, kama njia ya kunyamazisha upinzani nchi humo.

69 WAHUKUMIWA MAISHA MISRI

Mahakama nchini Misri
Mahakama ya Misri imewahukumia kifungo ncha maisha jela, watu 69 baada ya kupatikana na hatia kuchoma kanisa moja nchini humo.

PADRI AKAMATWA KWA UJANGILI HUKU BUNDUKI 48, RISASI 764 ZIKIKAMATWA

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Rukwa, Jacob Mwaruanda, akionyesha bunduki aina ya AK47 kati ya silaha zilizokamatwa katika msako maalum wa ujangili.

Na Daniel Mbega, Namanyere
PADRI wa Kanisa Katoliki Jimbo la Sumbawanga (jina linahifadhiwa) ni miongoni mwa watu 50 waliokamatwa kwa ujangili na Kikosi Kazi cha Taifa katika Pori la Akiba la Lwafi wilayani Nkasi katika Mkoa wa Rukwa.

BASATA, TCRA WAWATAKA WASANII KUZINGATIA MATUMIZI SAHIHI YA MITANDAO

Displaying 1.jpg
Meneja Mawasiliano wa Mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA) Innocent Mungy (Kulia) akiongea na wadau wa Sanaa (hawako pichani) wakati akiwasilisha mada kuhusu matumizi sahihi ya mitandao ya kijamii kwa wasanii kwenye Jukwaa la Sanaa  lililofanyika Jumanne ya wiki hii makao makuu ya Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) Ilala, Sharif Shamba. Kushoto ni Mwanasheria wa BASATA Deogratius Nchimbi.

CHUO CHA MUSOMA UTALII TABORA KUBORESHA MAFUNZO



Na Hastin Liumba, TaboraUONGOZI wa CHUO cha Musoma Utalii tawi la Tabora umesema utaendelea kutoa mafunzo ya elimu ya Utalii na Ualimu kadri ya maelekezo ya sera za nchi zinavyoelekeza.

FANYENI REDIO ZENU ZITAMANIKE, WAMILIKI REDIO JAMII WAAMBIWA

DSC_0088
Mwezeshaji wa warsha ya Viongozi wa vituo vya redio jamii ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Asasi ya kuwawezesha wajasiriamali wadogo na wakati (ASMET), Bw. Ramadhan Ahungu akiendesha mafunzo ya masoko na mpango biashara kwa viongozi wa redio jamii nchini wakati kuhitimisho la warsha ya awamu ya kwanza ya mradi wa Shirika la Maendeleo la Sweden (SIDA) wa kuzipa uwezo Redio hizo katika matumizi ya Tehama na Mawasiliano iliyoratibiwa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu Sayansi na Utamaduni UNESCO ambayo imefanyika katika kituo cha Redio jamii Sengerema Telecentre mkoani Mwanza.

SKYLIGHT BAND KUANZA WEEK END ALHAMIS HII NDANI YA MZALENDO PUB

IMG-20150428-WA0053

VILABU VPL VYAPIGWA FAINI, WAAMUZI WAFUNGIWA


Ruvu Shooting imepigwa faini ya sh. 300,000 (laki tatu) kwa kuzingatia Kanuni ya 14(9) ya Ligi Kuu kwa kutoingia kwenye vyumba vya kubadilishia nguo (changing room) katika mechi namba 149 dhidi ya Kagera Sugar iliyochezwa Uwanja wa Kambarage mjini Shinyanga.

UWAWATA WAMKABIDHI WAZIRI CHIKAWE RIPOTI INAYOPINGA UPIGAJI WA RAMLI NA MAUAJI YA ALBINO NA VIKONGWE NCHINI

Displaying PIX 1.JPG
Mratibu Mkuu wa Umoja wa Waganga na Wakunga wa Tiba Asili Tanzania (Uwawata), Julius Juju (wapili kulia) akimkabidhi Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe, ripoti inayopinga upigaji wa ramli na mauaji ya albino na vikongwe nchini. Ripoti hiyo iliyoandaliwa na zaidi ya Wajumbe 200 wa Uwawata baada ya kufanya utafiti ya mauaji ya albino katika mikoa ya Kanda ya Ziwa na kufanya semina ya hitimisho jijini Mwanza kwa kutoa maazimio ya kupinga mauaji hayo. Kulia ni Mkaguzi wa Waganga nchini katika umoja huo, Mohamed Masoud, Kushoto ni Katibu Mkuu wa Uwawata Mkoa wa Dar es Salaam, Swed Omari. Makabidhiano hayo yalifanyika katika ofisi ya Waziri Chikawe jijini Dar es Salaam leo. Picha zote na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.  

Tuesday, 28 April 2015

MALINZI AWAPONGEZA YANGA

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini TFF, Jamal Malinzi ametuma salamu za pongezi kwa Mwenyekiti wa klabu ya Young Africans, Yusuf Manji kufuatia timu yake kutwaa Ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom msimu wa 2014/2015.

TANGAZO LA UZINDUZI WA MBIO ZA MWENGE WA UHURU TAREHE 29/4/2015 MKOANI RUVUMA.

WANAWAKE 5 KUPIGANIA TAJI LA SOKA LA BBC


Mashabiki wanapewa fursa kumpigia kura mchezaji bora wa soka wa BBC mwaka huu kwa upande wa wanawake likiwa ni taji la kwanza kuandaliwa na chombo cha habari cha kimataifa.

VURUGU ZAZUKA MJI WA BALTMORE MAREKANI


Vurugu kubwa za mapigano baina ya polisi na waandamanaji zimetokea nchini Marekani katika mji wa Boltimore, baada ya maziko ya kijana Freddie Gray ambaye alikufa kutokana kujeruhiwa alipokuwa mikononi mwa polisi mapema mwezi huu.

MAANDAMANO YACHACHA BURUNDI

Waandamanaji nchini Burundi
Maandamano yanaendelea kwenye mji mkuu wa Burundi Bujumbura kwa siku ya tatu kupinga uamuzi wa Rais Pierre Nkurunziza wa kuwania muhula wa tatu.

BABAAKE KIM KARDASHIAN SASA NI MWANAMKE

Bruce Jenner

Bruce Jenner aliyekuwa mwariadha bora duaniani kabla ya kuwa nyota wa kipindi cha televisheni na familia moja maarufu duniani ''The Kardashians''. sasa amefichua siri ambayo amekuwa akiificha kwa miaka mingi.

ZAIDI YA 4000 WATHIBITISHWA KUFA NEPAL



Utawala nchini Nepal unasema kuwa watu zaidi ya watu 4000 wamedhibitishwa kuaga dunia huku wengine 8000 wakijeruhiwa kwenye janga la tetemeko la ardhi lililosababisha uharibifu mkubwa siku ya Jumamosi.

NMB TABORA YATOA MSAADA MILIONI 25.


Na Hastin Liumba, TaboraBenk ya NMB Mihayo Tawi la Tabora imetoa msaada wa Computer na madawati 350 yenye thamani ya milioni 25.

WAZAZI TABORA WAASWA KUZINGATIA LISHE

Suala la lishe shuleni ni jambo la msingi sana

Na Hastin Liumba, TaboraWAZAZI mkoani Tabora wametakiwa  kuzingatia suala la kuwanyonyesha watoto wachanga kwani maziwa ya mama pekee kwa miezi sita ili kuondokana na tatizo la udumavu wa ubongo na hadi sasa Tabora iko chini ya asilimia 20.

6 WAKAMATWA NA VIPANDE 17 VYA MENO YA TEMBO


Hastin Liumba, TaboraJESHI la Polisi mkoani Tabora limefanikiwa kukamata watu sita wakiwa na vipande 17 vya meno ya tembo kutokana na operesheni maalumu.

KONGAMANO LA UHURU WA HABARI WPFD KUFANYIKA MOROGORO MEI 2-3, WADAU ZAIDI YA 200 KUSHIRIKI

MISATAN Chairperson Simon Berege addresses the media during a press conference to introduce World Press Freedom Day 2015
Mwenyekiti wa Misa-Tanzania-Media Institute of Southern Africa (Taasisi ya vyombo vya habari Kusini mwa Afrika) Bwana Simon Berege akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusiana na maadhimisho ya siku ya uhuru wa habari duniani (WPFD) yatakayofanyika tarehe 2 mwezi Mei mwaka huu mkoani Morogoro.

Monday, 27 April 2015

TEMBO KUTOWEKA TANZANIA MIAKA 10 IJAYO - NYALANDU

DSC_0089
Pichani juu na chini ni Waziri wa Maliasili na Utalii, Mh. Lazaro Nyalandu akizungumza na katika mkutano uliohusisha wadau wa mashirika ya Kimataifa na asasi za kijamii ukiwa na lengo la ushirikishaji wa jamii katika masuala ya uhifadhi wa wanyamapori uliofanyika jana katika ukumbi wa mikutano wa Mpingo House uliopo Wizara ya Maliasili na Utalii jijini Dar es Salaam.(Picha zote na Zainul Mzige wa Modewji blog).

UGAWAJI WA VYETI VYA URAIA KWA WATANZANIA WAPYA 152,572 WAFIKIA UKINGONI


Displaying 1. PICHA-UHAKIKI.jpg
Afisa Uhakiki, Neema Chilipweli (kushoto) akiihakiki familia ya Yohanna Bukuru (watatu kulia), pamoja na mkewe na watoto wao sita kutoka Kijiji cha Kapemba, Kata yaMishamo, wilayani MpandaVijijini, Mkoa wa Katavi, ikiwa ni hatua ya awali ya uhakiki ili familia hiyo iweze kupewa vyeti vya uraia wa Tanzania. Zaidi ya watu 152,572 katika Makazi ya Mishamo, Katumba na Ulyankulu waliokuwa wakimbizi wa Burundi wa mwaka 1972 walioomba uraia 2008 n akupewa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi mwaka 2010, wanastahili kupokea vyeti hivyo kama raia wapya wa Tanzania. Hata hivyo, Makazi ya Katumba na Ulyakulu tayari wamekamilisha zoezi la ugawaji wa vyeti hivyo, na sasa ni zamu ya raia wapya wa Makazi ya Mishamo ambapo wiki hii zoezi la ugawaji wa vyeti hivyo nchini, linatarajiwa kukamilika. Serikaliya Tanzania inashirikiana na Shirika la Kimataifa la Kuwahudumia Wakimbizi (UNHCR) katika ugawaji wa vyeti hiyo. Picha na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

KUSIMAMISHWA KWA MISS TANZANIAKUKO PALEPALE

                                         
 National Arts Council BASATA
Tarehe: 24/04/2015

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

BASATA Arts Centre                                                                Tel. 2863748/2860485
                                              Fax: 0255- (022) – 286 0486                                                                                                                         
Ilala Sharif Shamba                                                                                                                                                                       
P.O. Box. 4779, Dar es Salaam
E-mail:basata06@yahoo.com

KUSIMAMISHWA KWA SHINDANO LA UREMBO LA MISS TANZANIA KWA MISIMU MIWILI KUKO PALEPALE
Katika siku za hivi karibuni kumekuwa na taarifa kwenye vyombo vya habari na mitandao mbalimbali ya kijamii kwamba shindano la urembo nchini maarufu kwa jina la Miss Tanzania limefunguliwa na Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) na kwamba Kampuni ya Lino International Agency LTD ambayo ni waendeshaji wa shindano hilo imewataka mawakala wake kuanza maandalizi ya shindano hilo.

MVUA KUNYESHA NA KUSABABISHA WATU KUKOSA MAKAZI


Na Hastin Liumba, SikongeMVUA inayoendelea kunyesha sehemu mbalimbali hapa Nchini Imesababisha maafa na uharibifu mkubwa wa kaya 27 zenye watu 135 kukosa makazi katika Wilaya ya Sikonge Mkoani Tabora.

KITABU CHA 'THE 7 HABITS OF HIGHLY EFFECTIVE PEOPLE' CHAZINDULIWA UPYA KWA LUGHA YA KISWAHILI

DSC_0006
Ofisa Mtendaji Mkuu wa NFT Consult/Franklin Covey, Badru Ntege (kulia) akimwonyesha kitabu cha "The 7 Habits of highly effective People" kilichotafsiriwa kwa lugha ya Kiswahili kwa mara ya kwanza nchini Tanzania mgeni rasmi Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Nehemia Mchechu mara baada ya kuwasili kwenye uzinduzi huo uliofanyika jana jijini Dar es Salaam katika hoteli ya Serena.(Picha zote na Zainul Mzige wa Modewjiblog).

Monday, 20 April 2015

CHADEMA YAMWAGA SUMU SUMBAWANGA, YASEMA CCM IMEPOTEZA BARAKA ZA MUNGU

Naibu Katibu Mkuu wa Chadema (Zanzibar) Salum Mwalimu akisisitiza jambo wakati akiongea na viongozi wa Vijiji na Mitaa wa chama hicho katika semina ya kuwajengea uwezo iliyofanyika kwenye ukumbi wa Libori mjini Sumbawanga leo hii.

SEMINA YA MAKOCHA WAKUFUNZI

Semina ya Makocha wakufunzi inatarajiwa kufanyika jijini Dar es salaam kuanzia Aprili 27, 2015 na kumalizika Mei 2 Mwaka huu ikiwajumuisha jumla ya makocha wakufunzi 21.

TFF YAPOKEA MAOMBI YA KAGAME CUP 2015

Shrikisho la Mpira wa Miguu nchini TF, leo hii limepokea maombi toka Baraza la Vyama vya Mpira wa Miguu Afrika Mashariki na Kati (CECAFA), likiitaka Tanzania kuwa mwenyeji wa mashindano hayo ngazi ya vilabu yatakayotimua vumbi kuanzia mwezi Julai mwaka huu.

WAKULIMA WA TUMBAKU WANG'AKA, TUMESAJILIWA KIHALALI!


Na Hastin Liumba, TaboraUMOJA wa wakulima wa kujetengemea wa zao la Tumbaku mkoani Tabora wasema umoja huo sio genge la wahuni bali wamejipanga kukomboa mkulima wa zao la Tumbaku Nchini.

AFRIKA INALIA, DAMU INAMWAGWA NA WEUSI


Ndugu zangu,
Sote tunakumbuka mapambano yaliyoendeshwa na wazee wetu akina  Autshumato,  LangalibalelePatrick ChamussoMosiuoa LekotaMac MaharajMichael Matsobane,  Govan MbekiSayed Adurohman MoturuWalter SisuluOliver Tambo, Nelson Mandela, Askofu Desmond Tutu,  Kgalema Motlanthe na wengineo walivyopambana kuhusiana na utawala wa kibaguzi wa Makaburu licha ya uhuru walioupata kwa Waingereza Mei 31, 1910.

MANJI AENDELEA KUWA BUBU MABILIONI YA JAPAN

Mbunge wa Konde Khatib Said Haji (CUF).
Wakati Mfanyabiashara Yusuf Manji akiendelea kukaa kimya bila kutoa majibu juu ya kuhusika kwake na kilio cha wafanyabiashara wa kati ambao wameingia kwenye madeni makubwa kutokana na fedha za kusaidia uagizaji wa bidhaa kutoka nje (Commodity Import Support – (CIS), wiki hii serikali inatarajia kuwasilisha kwa kamati ya Bunge ya Uchumi, Viwanda na Biashara ripoti vigogo waliokalia mabilioni ya fedha hizo kwa miaka kadhaa sasa.

UHURU EYES INVESTMENTS IN US CONFERENCE

President Uhuru Kenyatta during an interview in
President Uhuru Kenyatta during an interview in Tokyo, Japan. He will be in the United States next week to attend the annual Milken Global conference in Los Angeles, California. PHOTO | COURTESY | NATION MEDIA GROUP
By ANTONY KARANJA
DALLAS, TX
President Uhuru Kenyatta will be in the United States next week to attend the annual Milken Global conference in Los Angeles, California.

NGASSA AWA GUMZO ETOILE DU SAHEL

ngassa
NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM
KOCHA wa timu ya Etoile Du Sahel, Benzarti Faouzi amempigia saluti mshambuliaji wa Yanga, Mrisho Ngassa kuwa ni mchezaji mwenye kasi na uwezo mkubwa.

EQUATOR: PROFITABLY COMBINING NATURE’S GIFTS WITH TOURISM



By Edgar R. Batte
The next time you visit the Equator, be sure to take a photograph because it is more beautiful and inviting, thanks to the Embassy of Ireland. During the St Patrick Day, the embassy, like is tradition, enhanced a feature around the world, and that is how the Equator got a facelift. 

WEMALI RAPE CASE: POLICE SURVIVE ACCIDENT, BEES ATTACK JOURNALISTS

Wemali has been accused by national junior team female runners of sexually harassing them. PHOTO BY David AWORI 
By DAVID AWORI & SANDE BASHAIJA
KAPCHORWA/KAMPALA. In Sebei Region, Peter Wemali is a feared man. 

VIJANA NCHINI WATAKIWA KUJIUNGA KATIKA VIKUNDI ILI KUJIKOMBOA KIUCHUMI

Displaying pics 2.jpg
Mkuu wa Mkoa wa Singida Dr. Parseko Kone  katikati akizungumza na ujumbe kutoka Wizara ya Habari, Vijana,Utamaduni na Michezo ulipotembelea Mkoa huo kwa lengo la kutoa elimu kwa  vijana ya jinsi ya kujikomboa kiuchumi .Wa kwanza kutoka kulia ni Mkurugenzi Msaidizi Kitengo cha Uhamasishaji na Uwezeshaji Kiuchumi Idara ya Maendeleo ya Vijana Dr. Steven Kissui .(Picha na Benjamin Sawe WHVUM).

JAPAN ROBOT RECEPTIONIST WELCOMES SHOPPERS

Humanoid ChihiraAico (L), clad in a Japanese kimono, greets a customer at an entrance of a department store in Tokyo on April 20, 2015. She can smile, she can sing, and she can give you guidance at one of the most upscale department stores in Tokyo. AFP PHOTO  
By Agencies
She can smile, she can sing and this robot receptionist who started work in Tokyo on Monday never gets bored of welcoming customers to her upmarket shop.

MCHUNGAJI ATANGAZA KUGOMBEA URAIS 2015

Na Rodrick Mushi, Moshi
MHADHIRI wa Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Stephano Moshi (SMUCCO), Mchungaji Godfrey Malisa, ametangaza nia ya kugombea urais Oktoba mwaka huu kwa tikeki ya mgombea binafsi.

CHADEMA: ZITTO NI ADUI YETU NAMBA MOJA

MNYIKA
Naibu Katibu Mkuu wa Chadema (Bara), John Mnyika

Na Bakari Kimwanga, MwanzaCHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimetangaza kuwa adui yake namba moja ni Kiongozi Mkuu wa Chama cha Alliance for Change and Transparance (ACT-wazalendo), Zitto Kabwe.

CHILDREN’S HOMES TO BE INVESTIGATED

By ABUBAKER KIRUNDA
JINJA. The Ministry of Gender, Labour and Social Development has directed district probation officers in the country to investigate children’s homes over alleged failure to comply with required standards.

NEW ANTI-CRIME UNIT, CIID CLASH

L-R Gen Kale Kayihura created the Special Operations Unit, Ms Grace Akullo heads the Criminal Investigations and Intelligence Directorate. 
By ANDREW BAGALA
Kampala. A battle is raging between the Criminal Investigations and Intelligence Directorate (CIID) and a newly- created unit that tackles violent crimes on how to manage cases. 

GOVT UNVEILS NINE NEW CULTURAL TOURISM SITES

Momela Cultural Tourism situated along Momela Lake near the buffer zone area of Arusha National Park in Arusha Region Northern Tanzania. 

The government has unveiled nine new cultural tourism sites across the nation with more than 120 major tribes, an official said on Saturday.

TASAF CALLS UPON MEDIA TO HIGHLIGHT RURAL POVERTY.



BY AMRI LUGUNGULO
Tanzania Social Action Fund (TASAF) has asked the top management to collaborate with journalists to ensure accurate reports on poverty eradication countrywide.

POLICEMAN ARRESTED OVER CORRUPTION REPORTS IN PWA KILLING INVESTIGATION


BY JUMBE ISMAILLY
Following extensive government efforts to stem killings of people with albinism  (PwA)  by banning divination conducted by witchdoctors,  dishonest law enforcing officers have taken the   opportunity to extort bribes from witchdoctors to allow them carry on with the censured practice.

WIZI WA MAGARI NI BALAA TUPU


Dar es Salaam. Wezi wa vifaa vya magari jijini hapa wameunda mtandao mzito kama vile wana ‘serikali yao’ inayowalazimisha waathirika kuacha kutoa taarifa polisi badala yake kwenda kununua upya vifaa kwa wezi hao.

ASTON VILLA YAIPANIA ARSENAL FAINALI FA

Tim Sherwood kocha wa Aston Villa aipania Arsenal
Baada ya Aston Villa kushinda bao 2-1 dhidi ya Liverpool katika mechi ya nusu Fainali michuano ya FA Cup,sasa kocha wa Aston Villa Tim Sherwood anasema wanajinoa kuwakabili Arsenal katika mechi ya fainali.