Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Monday, 26 January 2015

TIMU YA ARSENAL YAFANYA MAZUNGUMZO NA KAMPUNI YA TTCL

Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara wa Timu maarufu ya mpira wa miguu duniani ya Arsenal, Dam Stone (kulia) akipokea zawadi kutoka Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) iliyokabidhiwa na Meneja wa Masoko na Usambazaji wa TTCL, Robart Noel kabla ya kuanza mazungumzo ya kibiashara kati ya pande hizo mbili. Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara wa Timu maarufu ya mpira wa miguu duniani ya Arsenal, Dam Stone (kulia) akipokea zawadi kutoka Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) iliyokabidhiwa na Meneja wa Masoko na Usambazaji wa TTCL, Robert Noel kabla ya kuanza mazungumzo ya kibiashara kati ya pande hizo mbili.
Kutoka kushoto ni Meneja wa Masoko na Usambazaji wa Kampuni ya Simu ya TTCL, Robart Noel, Meneja wa Maendeleo ya Biashara wa Timu maarufu ya mpira wa miguu duniani ya Arsenal, Daniel Willey na Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara wa Timu maarufu ya mpira wa miguu duniani ya Arsenal, Dam Stone wakiwasili kwa mazungumzo na wanahabari kabla ya kuanza kikao cha mazungumzo kibiashara kati ya TTCL na Timu ya Arsanal leo jijini Dar es Salaam. Kutoka kushoto ni Meneja wa Masoko na Usambazaji wa Kampuni ya Simu ya TTCL, Robart Noel, Meneja wa Maendeleo ya Biashara wa Timu maarufu ya mpira wa miguu duniani ya Arsenal, Daniel Willey na Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara wa Timu maarufu ya mpira wa miguu duniani ya Arsenal, Dam Stone wakiwasili kwa mazungumzo na wanahabari kabla ya kuanza kikao cha mazungumzo kibiashara kati ya TTCL na Timu ya Arsanal leo jijini Dar es Salaam.Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara wa Timu maarufu ya mpira wa miguu duniani ya Arsenal, Dam Stone (kulia) akipokea zawadi kutoka Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) iliyokabidhiwa na Meneja wa Masoko na Usambazaji wa TTCL, Robart Noel kabla ya kuanza mazungumzo ya kibiashara kati ya pande hizo mbili. Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara wa Timu maarufu ya mpira wa miguu duniani ya Arsenal, Dam Stone (kulia) akipokea zawadi kutoka Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) iliyokabidhiwa na Meneja wa Masoko na Usambazaji wa TTCL, Robart Noel kabla ya kuanza mazungumzo ya kibiashara kati ya pande hizo mbili.Meneja wa Maendeleo ya Biashara wa Timu maarufu ya mpira wa miguu duniani ya Arsenal, Daniel Willey (katikati) akizungumza jambo na wanahabari kabla ya kuanza kikao cha mazungumzo ya kibiashara kati ya TTCL na Timu ya Arsanal leo jijini Dar es Salaam. Wengine ni Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara wa Timu maarufu ya mpira wa miguu duniani ya Arsenal, Dam Stone (kulia) na Meneja Masoko na Usambazaji Kampuni ya Simu ya TTCL, Robart Noel (kushoto). Meneja wa Maendeleo ya Biashara wa Timu maarufu ya mpira wa miguu duniani ya Arsenal, Daniel Willey (katikati) akizungumza jambo na wanahabari kabla ya kuanza kikao cha mazungumzo ya kibiashara kati ya TTCL na Timu ya Arsanal leo jijini Dar es Salaam. Wengine ni Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara wa Timu maarufu ya mpira wa miguu duniani ya Arsenal, Dam Stone (kulia) na Meneja Masoko na Usambazaji Kampuni ya Simu ya TTCL, Robart Noel (kushoto).Kutoka kushoto ni Meneja wa Masoko na Usambazaji wa Kampuni ya Simu ya TTCL, Robart Noel, Meneja wa Maendeleo ya Biashara wa Timu maarufu ya mpira wa miguu duniani ya Arsenal, Daniel Willey na Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara wa Timu maarufu ya mpira wa miguu duniani ya Arsenal, Dam Stone wakizungumza na wanahabari kabla ya kuanza kikao cha mazungumzo ibiashara kati ya TTCL na Timu ya Arsanal leo jijini Dar es Salaam. Kutoka kushoto ni Meneja wa Masoko na Usambazaji wa Kampuni ya Simu ya TTCL, Robart Noel, Meneja wa Maendeleo ya Biashara wa Timu maarufu ya mpira wa miguu duniani ya Arsenal, Daniel Willey na Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara wa Timu maarufu ya mpira wa miguu duniani ya Arsenal, Dam Stone wakizungumza na wanahabari kabla ya kuanza kikao cha mazungumzo ibiashara kati ya TTCL na Timu ya Arsanal leo jijini Dar es Salaam.Kutoka kushoto ni Meneja Mauzo na Uendeshaji Biashara wa TTCL, Benjamin Bizere Nkaka, Meneja wa Masoko na Usambazaji wa Kampuni ya Simu ya TTCL, Robart Noel, Meneja wa Maendeleo ya Biashara wa Timu maarufu ya mpira wa miguu duniani ya Arsenal, Daniel Willey na Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara wa Timu maarufu ya mpira wa miguu duniani ya Arsenal, Dam Stone wakizungumza na wanahabari kabla ya kuanza kikao cha mazungumzo ibiashara kati ya TTCL na Timu ya Arsanal leo jijini Dar es Salaam. Kutoka kushoto ni Meneja Mauzo na Uendeshaji Biashara wa TTCL, Benjamin Bizere Nkaka, Meneja wa Masoko na Usambazaji wa Kampuni ya Simu ya TTCL, Robart Noel, Meneja wa Maendeleo ya Biashara wa Timu maarufu ya mpira wa miguu duniani ya Arsenal, Daniel Willey na Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara wa Timu maarufu ya mpira wa miguu duniani ya Arsenal, Dam Stone wakizungumza na wanahabari kabla ya kuanza kikao cha mazungumzo ibiashara kati ya TTCL na Timu ya Arsanal leo jijini Dar es Salaam.Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara wa Timu maarufu ya mpira wa miguu duniani ya Arsenal, Dam Stone (kulia) akipokea zawadi kutoka Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) iliyokabidhiwa na Meneja wa Masoko na Usambazaji wa TTCL, Robart Noel kabla ya kuanza mazungumzo ya kibiashara kati ya pande hizo mbili. Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara wa Timu maarufu ya mpira wa miguu duniani ya Arsenal, Dam Stone (kulia) akipokea zawadi kutoka Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) iliyokabidhiwa na Meneja wa Masoko na Usambazaji wa TTCL, Robart Noel kabla ya kuanza mazungumzo ya kibiashara kati ya pande hizo mbili.

No comments:

Post a Comment