| Bandora Salum Mirambo akiwasili katika ofisi za CCM wilaya ya Tabora kuchukua fomu za ubunge wa Tabora Mjini. |
| Wawania kuteuliwa na CCM wakisabahiana |
Hali hii imeonesha kuwa wapiga kura wa Tabora wamekuwa na tabia ya kutorudisha mbunge katika kiti hicho kwa mara ya pili mfululizo, Mh Rageh ambaye alipata kuwa mwenyekiti kilabu cha Simba cha jijini Dar bila shaka atakuwa na kibarua kigumu cha kuuvunja mwiko huo.
Bandora Mirambo ni mkurugenzi wa kampuni ya ulinzi ya Salu Security yenye makao yake makuu mjini Sinyanga na matawi kadhaa mikoa ya kanda ya ziwa.
| Tabasamu kubwa! |
No comments:
Post a Comment