Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Sunday, 19 July 2015

HAPPY BIRTHDAY MWANALIBENEKE KRANTZ MWANTEPELE


Leo tarehe 19 Julai ni siku ya kuzaliwa Mwanalibeneke la blogu  Krantz Mwantepele ambaye ni Mkurungezi Mtendaji wa MWANAHARAKATI MZALENDO MEDIA pia Mkurungezi Mtendaji wa KAJO ITECH kwa  niaba ya wasomaji  wetu tunapenda kukutakutakia maisha marefu na yenye baraka na fanaka tele.



Mungu akupe maisha marefu na kukupa mwongozo sahihi kwa ndoto zako za kuweza kutengeneza ajira kwa vijana wenye nia na ari ya kujiajiri .

Mnaweza kutembelea blog zinazomilikiwa na Mwanaharakati Mzalendo Media 

Mwanaharakati Mzalendo Blog link www.mwanaharakatimzalendo.blogspot.com

Harakati360 link www.harakati360.blogspot.com

Mzalendo Times link www.mzalendotimes.blogspot.com


Na hivi karibuni kutazinduliwa MZALENDO ONLINE TV

Pia unaweza kumfuata Krantz katika mitandao ya kijamii kama
 Facebook kwa jina la Mwanaharakati mzalendo  https://www.facebook.com/MWANTEPELE

Instagram/ twitter@mzalendo89

 "HAPPY BIRTHDAY KRANTZ "


No comments:

Post a Comment