Mjane wa marehemu (wa tatu),akiwa na watoto na ndugu na jamaa wakati wa ibada hiyo.(Imeandaliwa na mtandao wa www. habari za jamii.com)
Geneza lenye mwili wake likiingizwa katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), kwa ajili ya ibada hiyo.
Wachungaji wa Kanisa hilo wakiongoza ibada hiyo.
Ndugu jamaa na marafiki wa marehemu wakiwa kwenye
ibada hiyo.
Hakika ni huzuni kubwa kwa kuondokea na mpendwa wetu George.
Safari ya mwisho ya mpendwa wetu George Njabili.
Ni huzuni kwa ujumla.
Mjane wa George Njabili (katikati), pamoja na watoto wao.
Ni ibada iliyowagusa wengi waliomfahamu George Njabili.
Wanakwaya wakiimba kwenye ibada hiyo.
Ndugu, jamaa na marafiki wakiwa kwenye ibada hiyo.
No comments:
Post a Comment