Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Mbarak Abdulwakil wa pili kutoka kushoto akimsikiliza Katibu Tawala wa Mkoa wa Arusha Bw.Adoh Mapunda muda mfupi kabla ya Bw. Mapunda kufungua kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kilichoanza leo jijini Arusha katika hoteli ya Corridor Springs.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Mbarak Abdulwakil wa tatu kutoka kulia akimkaribisha Katibu Tawala wa Mkoa wa Arusha Bw. Adoh Mapunda kwenda kufungua kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kilichoanza leo jijini Arusha katika hoteli ya Corridor Springs, wa kwanza kutoka kulia ni Naibu Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, Abdulrahman Kaniki anayefuatia ni Kamishna Mkuu wa Idara ya Uhamiaji Sylivester Ambokile .
Twitter Buzz
....

...

IMETOSHA!

Featured post
KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO
Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Friday, 28 November 2014
KIKAO CHA BARAZA LA WAFANYAKAZI WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI ARUSHA LEO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment