Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Wednesday 26 November 2014

JE, UNAWEZA KUVAA CHUPI YA MPENZI WAKO? SOMA HAPA...


Chupi inayoweza kuvaliwa na watu wa jinsia zote sasa imeanza kuuzwa madukani nchini Marekani.

Hii ni baada ya kampuni moja nchini humo kuanza kutengeza chupi hizo kwa lengo la kuhakikisha kuwa wapenzi wanaweza kutumia chupi moja bila tatizo lolote.
Kulingana na gazeti la the telegraph,Chupi hizo kwa jina Play out zinazotengezwa na kampuni ya Abby Sugar na Sylvie Lardeux pia zinashirikisha suruali fupi zenye rangi ya kung'aa.
Chupi hizo zimetengezwa kama za kiume lakini hazina zipu swala linalozifanya kuweza kuvaliwa na jinsia zote,ijapokuwa wengine wanaweza kulalama kwamba haziwapi faraja.
''Tunataka watu wajisike vizuri na wawe wenye raha wakati wanapovalia chupi hizi,lakini sio kuvaa ili kuwafurahisha watu wengine'', alisema bi Sugar ambaye amekuwa na uhusiano na Bi Lardeux kwa kipindi cha miaka mitano iliopita.
Wanasema kuwa waliamua kutengeza chupi hizo kwa kuwa wanaona mtindo wa chupi za wanaume kama zinazofurahisha na kuvutia .
CREDIT: BBC

No comments:

Post a Comment